tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso na Tanzania kuimarisha uhusiano katika Huduma ya Saratani na huduma nyingine kiafya

    Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake. Taarifaya Ocean Road imeeleza kuwepo kwa ziara hiyo ni juhudi na maono ya Dkt. Jakaya Kikwete wakati...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashitakiwa Umoja wa Afrika kutokana na kukiuka Haki za Binadamu

    TANZANIA 'YASHTAKIWA' UMOJA WA AFRIKA! Martha Karua ameuandikia barua Umoja wa Afrika kuhusu kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuteswa kwa Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania. Kama majibu ya Tanzania kwa Bunge la Ulaya yalisema Bunge hilo lilipewa taarifa za...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu; 1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii? 2. Kulikuwa na ulazima wa Rais kujiingiza moja kwa moja, kichwa kichwa, mstari wa mbele, tena kwa kebehi, dhihaka na...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania

    Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania.
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la hotel iliyopo Tanzania ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa

    Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeingilia mambo ya nchi zote majirani

    Tanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu Kenya Uganda mpaka vita Rwanda na Burundi Congo Zambia...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Farouk Kibet, msaidizi wa Rutto ataka wakenya wanaokuja Tanzania kufanya mambo ya kihuni wakamatwe wafungwe

    Sasa kumekucha! Mama Samia anaungwa mkono kila upande. Wakija tena sasa hivi breki ya kwanza SegereMatata.
  10. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ? watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ni wazi watavitumia vyombo vya nchi za nje(Hususani Kenya)kuikosoa vikali Tanzania

    Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania. Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya: Serikali ya Tanzania inatuzuia kuwasiliana na Boniface Mwangi kama sheria za kimataifa zinavyoelekeza

    Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo wa madini muhimu London

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  17. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

    Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship. Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
  18. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?

    Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Tasnia ya filamu Tanzania

    Kwa mwenendo wa movie za kibongo kukosa radha kwenye vitu vya uhalisia ....mimi nimeamua kula course baadae niwe na movie production ambayo itakuwa advanced na inaweza kutengeneza movie za aina zote kwa mwonekano wa uhalisia kama wazungu Tutakuwa na uwezo wa kutengeneza movie zenye mwonekano...
Back
Top Bottom