tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kinachoitesa Tanzania si Viongozi ni Tatizo la Fikra.

    Hata leo usiku, ikiwa chama tawala kitatoka na kuingia chama kingine ili kupata viongozi wapya, taifa hili litaendelea kuwa maskini kama nguvu ya kuzindua raia haitatumika kwa dhati. Ukweli uliopo ni kwamba mabadiliko ya kweli hayaanzi kwenye kura za sandukuni pekee, bali huanzia kwenye ukombozi...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Nasra Nassor, Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia (Chemist Professionals Council) Mheshimiwa Dkt. Nasra Nassor, Kwa heshima, naomba nianze kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuwajibisha Precision Air Tanzania

    Karibu miezi miwili sasa nimekumbana na kazia mbovu ya huduma kwa wateja kutoka kampuni ya ndege ya Precision Air. Tofauti na sera yao ya utaratibu wa kurejesha pesa kwa safari iliyohairishwa na kutolewa report ndani ya wakati ndani ya week 2, jitihada za kuwasiliana na huduma kwa wateja...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga Rais mpya AMECEA. Tanzania bado imara

    ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki (AMECEA). Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Mkutano...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu: CCM ni kama laana kwa Tanzania

    Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa! Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za kiume narudi Tanzania mwezi august

    Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira ya Tanzania kutokuwa salama kiutekaji hii inakuwa changamoto.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wasomi wamekuwa rahisi hivi?

    Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo nimetembea na wasomi 74. wadada wa bachelor degree 47, masters 21, PhD 6. Huenda ni kutokana na mazingira ninayofanya kazi lakini kwa experience yangu msomi wa degree 1 ni rahisi kumpata kuliko mdada wa certificate. Imetolewa na mkuu wa idara ya uchakataji, MMU...
  11. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia

    Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia na ndioomaana Mitume na manabii uchwara wanafanikiwa sana wameshaijua code ya kuchezanayo
  12. C

    JamiiForums Tanzania WE ARE HIRING: Founding Sales Development Representative (SDR) – Remote (Tanzania)

    Founding Sales Development Representative (SDR) – Remote (Tanzania) Join the Founding Sales Team of an Australian Technology Company Location: Remote – Tanzania Company: My Wattle (Australia) About My Wattle My Wattle is an Australian Software as a Service (SaaS) company developing...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania si Kila kabila lifaa litoe viongozi wa juu, usaliti ni mwingi sana ongezeni upembuzi wa nani awe kiongozi wa juu

    Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika nyazifa za juu waishie kwenye uheadmaster. Kuna wale hawawezi kuwaheshimu viongozi waliojuu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama mzazi na kama kuna wazazi hapa JF tuungane kurekebisha elimu ya tanzania naona kama ni vichekesho.

    Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani. Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

    Ukianzia Elimu Kilimo Afya Sekta ya usafirishaji Katiba na sheria Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k Inamfanya asifanye mtihani Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani Kilimo Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa Afya Bima kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze 2030s kwasasa tujenge kwanza uchumi wetu otherwise ni kuchezea hela

    Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia. Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa?

    Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu

    Kazi. Utu. Maendeleo. #TanzaniaYetu
  20. JamiiForums Tanzania Tuiombe jamii ya kimataifa itusaidie kukomesha ugaidi TANZANIA

    Naona serikali ina hamu ya ugaidi Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi Hii sio nzuri polisi tendeni haki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…