tangawizi

Stoney Ginger Beer, or Stoney Tangawizi as it is called in Swahili-speaking Africa, is a ginger beer soft-drink sold in several countries across the African continent. The product, sold in a brown bottle or can, is made and distributed by The Coca-Cola Company.As is common with ginger beers in comparison to the lighter ginger ales, the ginger flavor present in Stoney is especially intense. There are several varieties of Stoney in different parts of Africa. In South Africa there are three different stoneys, extra kwetsa, regular and sugar free and javaman kwesta. Although they are all bottled by Coca-Cola, their recipes vary. The versions in Southern Africa tend to be more carbonated and sweeter while the East Africa version tends to have a much stronger ginger bite. Stoney Ginger Beer was introduced in South Africa in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Sildenafil Citrate

    Virutubisho na faida za Tangawizi kwa afya

    Ni mzizi ulio na faida kubwa sana kwa afya. Vyanzo vya kihistoria vinataja asili ya mzizi huu kuwa ni Kusini mwa bara la Asia. Hupatikana kwenye familia kubwa ya Zingiberaceae. Kwa mujibu wa USDA, tangawizi ni mzizi ulio na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini chuma...
  2. Jade_

    Upishi wa Biskuti za Tangawizi

    Habari zenu wakuu, natumai mnaendelea vizuri. Jumamosi iliyopita niliwaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Wiki hii nitapika Biskuti za Tangawizi. Biskuti hizi zinaweza kuliwa na maji, chai, maziwa, kahawa, juisi nk. Usipomaliza kuzila muda huo unaweza kuzihifadhi kwenye kontena...
  3. BigTall

    Ijue Tangawizi na faida zake katika mwili wa binadamu

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida nyingi katika mwili wa binadamu, ambapo tafiti zinaonesha unaweza kusaidia mambo haya: Tafiti kadha wa kadha zimefanyika na zimeainisha yafuatayo juu ya matumizi ya tangawizi: 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini...
  4. Lee Swagger

    Faida za Kiafya za Tangawizi na Vidokezo vya Lishe

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida kubwa tofauti kwa mwili na ustawi wetu kwa ujumla. Kwa muda mrefu, ilitumika katika jamii mbalimbali kwa sababu ya mali yake ya kawaida na ya lishe. Ina athari bora za ustawi na ubora na idadi kubwa ya wanamitindo na watumbuizaji hutegemea kunywa chai ya...
  5. hamis77

    Korea Kaskazini yapambana na Covid kwa maji ya chumvi na tangawizi

    Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili. Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
  6. Erythrocyte

    Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  7. Chorter

    Wauzaji wa tangawizi

    Habari wanaJF, kutana na wasambazaji na wakulima wakubwa wa zao la TANGAWIZI kutoka rungwe- mbeya, tunajihusisha na kutoa huduma ya usambazaji wa TANGAWIZI kwa wafanya biashara kutoka seheme mbalimbali Tanzania bara, Tunatuma mzigo kiasi unachotaka kwa haraka na uhakika mkubwa, Pia tunatoa...
  8. IZENGOB

    MSAADA: Tangawizi hazina uchachu

    Wakuu nimefanya jaribio la kulima tangawizi hapa shambani kwangu,Vzimeota na kustawi vizuri shida ni kwamba hazina uchachu sababu nini nimelima Kibiti pwani japokua wazee wa zamani wanasema walishawahi kulima zao hilo hapo zamani na lilistawi vizuri na kuwa na uchachu kama tangawizizilivyo. Hizo...
  9. Chorter

    INAUZWA Mawakala wa tangawizi kwa bei nafuu sana

    Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa tangawizi, bei 1kg=800tsh Gunia kubwa(debe 12)=lak 1.4 Ni fursa kubwa kwa wafanya biashara za viungo na viwanda vinavyojihusisha na bidhaa za tangawizi kujipatia mzigo kwabei nafuu sana. Tunapatikana RUNGWE-Mbeya lakini mzigo usiozidi gunia 5...
  10. Mumlii

    Naomba kujuzwa faida ya Tangawizi kwenye juisi hasa Juisi ya Parachichi

    Habari wana JF Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
  11. Chorter

    Kilimo Cha tangawizi. RUNGWE YETU

    Habari ndugu zangu, napenda kuwakarbisha wote wenye kuhitaji kujua mambo mbalimbali kuhusu kilimo Cha tangawizi. Pia napenda kuwakarbisha wafanya biashara wote wanaohitaji tangawizi kutoka sehemu mbalmbal Tanzania. Kwawale wote wanaohitaji kulima tangawizi nnanafasi ya kujua mengi kutoka kwetu...
  12. Chorter

    Kilimo Cha tangawizi

    Kilimo ndo jadi yetu. . RUNGWE MBEYA TANZANIA
  13. Chorter

    Jifunze kuhusu kilimo cha tangawizi Rungwe

    Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA. Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha ya watu wengi wa Rika tofauti uku kwetu rungwe, lengo la uzi huu ni kwamba saizi ni msimu was kuanza...
  14. T

    Nini maana ya maneno haya? "Chai ya moto, chai ya tangawizi na chai kavu"

    Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF: 1. Chai ya moto 2. Chai ya tangawizi 3. Chai kavu Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali ila mimi sielewi wanamaanisha nini wanapoyatumia. Naomba kujuzwa ili twende pamoja
  15. vijola

    Natafuta soko la tangawizi

    Wakubwa shikamoo!!! Kwa wale wadogo hamjambo!!!! Na wale tunaolingana mambo niaje..... Kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema usio na kikomo kwa kutujalia tumeamka salama siku ya leo ....niende kwenye mada moja kwa moja . Mimi najihusisha na shughuli za kilimo cha...
Back
Top Bottom