Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Wataalam wa Katiba mnisaidie hili!
Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika?
Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika!
Isitoshe, nchi ya Zanzibar...
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata...
Watu wazito sana wameingia Tanganyika kutokea Kenya
Sitaki kuamini kuwa hawakuwa na barakaza ikulu ya Nairobi serikali ya Kenya inajua yote kuhusiana na wana harakati wake kuanzisha harakati ya kuipinga serikali ya maguvu ya CCM
Katika mambo yalioitisha sana serikali ni hili jambo
Wanajua...
Pamoja na ushabiki wangu wa Yanga ila ningependa tukio la kihostoria la mechi ya Simba dhidi ya RS Berkane ingechezwa Tanganyika
Hii mechi ni kubwa na Watanganyika wangefurahi kuwa sehemu ya tukio hili la final ya shirikisho
Ajabu Zanzibar ambayo ni Taifa dogo Lina viwanja vya kisasa kama...
1. Sijaona awards wala msanii/ Sanaa toka Tanganyika kwenye MVCA. Kazi za sanaa mmeingiza siasa. Kimataifa mtapasikia Tu.
2. Kenya na Kiswahili chao cha kuunga wananyakua awards kama zote (Hata zile za Kiswahili Achilia Kiingereza ambacho hatukiwezi.
**Pole Mrisho Moto, pole Doto Magari
Salaam:
Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola.
Naomba kujua taarifa zifuatazo.
1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo
2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko.
Yaani madini ya gram,na ya matani.
3...
Habari wana JF.
Nilivyomalizaga certificate ya Clinical Medicine niliomba leseni ila sasa nimemaliza Diploma yake nikarudi kwenye mfumo katika akaunti yangu ile ile nimetafuta sehem ya kuadd qualification isome Clinical Officer (CO) ili niombe leseni badala ya ile ya mwanzo Clinical Assistant...
Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika ili watu wagawane mbao,ila kabla hatujagawana ,tuipange mipaka tukubaliane ,bandari zitakuwa shared.
WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.
Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya...
Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo
Muundo wa Muungano
Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Pengine hii ni siri ambayo baadhi ya watu hawatopenda kila mtu katika hii nchi aijue,
: Kipindi ambacho watanganyika bado tunatawaliwa na mkoloni, Mwalimu akiwa na chama cha kudai uhuru, basi...
Kiliitishwa kikao cha Watu wazito wa hii nchi, watu wenye elimu ya faraki kujadili je...
Wanabodi
Nafuatilia matangazo mubashara ya TBC kuhusu maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wetu adhimu na adimu.
Naibu Kipoa, bu Mkuu wa OMR Muungano na Mazingira, Hassan Mitawi, ametoa baadhi ya siri za Muungano, ambazo wengi wetu hatukuwahi kuzijua ndio nimezijua leo. Mitawi aliyaeleza hayo...
Mwaka 1967 yalifanyika mashindano ya urembo kwa mara ya kwanza nchini, na dada Theresia Shayo akabeba taji. Mwalimu Nyerere akayapiga marufuku kwa madai kwamba yalikuwa yanaendeleza ukoloni mamboleo na yanatweza utu wa mwanamke.
Miaka 27 baadaye, mwaka 1994, Mzee Ruksa akayaruhusu. Lundenga...
Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
Na D. Kingdon.
HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA
WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu vilitanda juu ya miinuko ya nchi, na ukiangalia kwa mbali, utaona milima kama imefunikwa na moshi, kwa...
Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni
Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi
Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote
Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa...
Hellow!
Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu,
Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni uchaguzi wa ngwe ya pili ilhali huu ni uchaguzi mpya, ilani ni mpya. Uchaguzi ni mpya, na mambo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.