Medical council of tanganyika (MCT)

Medical council of tanganyika (MCT)

Wakujibwea45

Member
Joined
Oct 8, 2021
Posts
64
Reaction score
54
Habari wana JF.

Nilivyomalizaga certificate ya Clinical Medicine niliomba leseni ila sasa nimemaliza Diploma yake nikarudi kwenye mfumo katika akaunti yangu ile ile nimetafuta sehem ya kuadd qualification isome Clinical Officer (CO) ili niombe leseni badala ya ile ya mwanzo Clinical Assistant (CA) nimekosa, kwa yeyote anayejua anijuze🙏.

Pia nikijaribu nianze kujisajili upya kama Clinical Officer (CO) nikiweka email yangu ambayo ndo ile ile nilijaza kipindi naomba leseni YA Clinical Assistant (CA) bado mfumo unanikatalia unasema email already exist na sina email nyingine, nafanyaje apo wadau mwenye kujua anijuze🙏.
 
Back
Top Bottom