TANESCO: Taarifa ya kukatika Umeme mikoa ya Tanga na Pemba

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
575
2,559
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake kutokea kwa hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji umeme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale mkoani Tanga leo Jumanne, Septemba 27, 2022.

Hitilafu hii imesababisha kukosekana kwa huduma ya meme kwenye maeneo yote ya mikoa ya Tanga na Pemba.

Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inarejea katika hali yake ya kawaida.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza.
866CAE7F-8E78-4059-8EE7-9E3600C25504.jpeg
 
Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza kuwa Maeneo yote ya Tanga na Pemba yatakosa umeme leo kutokana na hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji meme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale Mkoani Tanga

Shirika limesema linajitahidi kuhakikisha huduma inarejea katika hali yake ya kawaida.
 
Back
Top Bottom