tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanga: Idadi ya Wanawake waliopata huduma ya uzazi wa mpango kwa njia ya kisasa imepanda kutoka 40% hadi 59% Muheza

    Elimu inayotolewa kwa makundi ya vijana Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga imechangia kupunguza idadi ya mimba za chini ya umri wa miaka 19 (mimba za utotoni). Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Mratibu wa Afya ya Mzazi na Mtoto Wilaya ya Muheza, Angelina Sengwaji anaeleza kuwa...
  2. Hivi kuna basi inatoka Tanga kwenda Tabora?

    Msaada tafadhali anaefahamu.
  3. R

    Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

    Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
  4. Mgodi wa Kigwase Tanga kuna umasikini wa kutisha, hakuna maji wala umeme

    Ni kweli unatoa kalibu madini yote yanayochimbwa duniani; kwanini kule kuna umasikini wa kutisha hakuna maji wala umeme. Kuna mto umba ndo mtetezi wao kwa maji japo yana magadi ukibandika maharage siku mbili hayaivi. Tabu ni nyingi sana kule hakuna mawasiliano mitandao ya simu haikamati mpka...
  5. B

    Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
  6. Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  7. T

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7 inje ( ya tofali kama vyumba) Frame ya Duka Gazebble Imezungushiwa ukuta na Gate Eneo size ni 2230 sqm...
  8. R

    Kwa Kasi iliyopo ya viongozi kwenda Kwa wataalam huko Tanga mamlaka za uteuzi zisilalamikiwe bali tuziombee

    Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu. Watu wanaratiba kabisa yakwenda kuongeza nguvu za kimamlaka wengine wanatumia magari binafsi huku wachache wakitumia magari ya umma...
  9. Abdul Kambaya awasha moto Tanga. Ataka watu wajiunge CHADEMA ili kuondoa mifumo mibovu

    Baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama wa Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya, na wanachama 384 kutangaza kujiunga na Chadema. Sasa wawasha moto. Tarehe 23 Februari 2023, Kambaya na wenzake walitangaza kujivua uanachama CUF kwa madai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo...
  10. NHIF Tanga badilikeni

    Habari ndugu zangu. NHIF ofisi ya mkoa wa Tanga ni tatizo kubwa hadi muda huu 10:40 wateja bado hawajasikilizwa tunaambiwa wapo kwenye kikao. Shame on you. Sisi wengi wetu ni wagonjwa tunataka kadi zetu tukatibiwe acheni uhuni na kujifanya ofisi ni mali zenu na familia zenu. Vikao fanyeni...
  11. Nahitaji Maziwa ya Jumla Tanga

    Hivi ni wapi naweza pata maziwa kama lita 1,000 kwa siku nikiwa Tanga?
  12. R

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  13. Jinsi ya kula machungwa ya Tanga

    Yaani asikwambie mtu machungwa ya tanga ni matamu sana hasa upate yenye maji mengi na kiharufu Cha asili mengi, nnakwambia utaloesha hadi ndevu, afu upate yenye kiharufu Cha asili. Ni kutafuna na kufyonza tu mpaka ganda, maelezo zaidi kwenye picha.
  14. Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  15. Je, Meli ya Mizigo ya Urusi imetua Tanga? Je, haitaleta mtikisiko wa kidiplomasia?

    Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa. Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi. Haya sasa...
  16. Mmoja kati ya walioiba vitu kwenye ajali iliyoua watu 17 Tanga ajinyonga

    Mtu mmoja kati ya watu 8 waliokamatwa, wakituhumiwa kuiba mali za waliofariki katika ajali iliyotokea Korogwe mkoani Tanga, ikihusisha gari la mizigo aina ya Fuso na gari la abiria aina ya Coaster, lililokuwa likisafirisha mwili kwa ajili ya maziko wilayani Rombo na kusababisha vifo vya watu 20...
  17. Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
  18. K

    Mambo niliyojionea Hospitali ya Magunga wilayani Korogwe

    Tukiacha Yale mambo ya ujumla kama vile uhaba wa madaktari, dawa , vifaa n.k yafuatayo ni mambo nimejionea wakati namuuguza mdogo wangu aliyevunjika mguu 1. Vyoo vya wodini havina Maji Yaani ni mpaka unashangaa kama upo hospitali ya Wilaya au zahanat ya Kijiji. Kama una mgonjwa inabidi uwe na...
  19. R

    Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

    Siku ya kumi hakuna maji (ukiacha sehemu ndogo za "wakubwa"). Hatuna maji. Almost the whole of Tanga city is with no water! Dar yalipokosekana, viongozi waliandamana kwenda Ruvu. Hapa hakuna lolote wala taarifa hawatupi kuna nini
  20. Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

    NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…