Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.
Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?
Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa.
Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda.
NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
Mhe. Waziri WA Fedha Bila kujali kesi zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwenye mabaraza mbalimbali amegongelea msumari kuunganishwa Kwa Tanga cement na Twiga cement Kwa maelezo kwamba serikali inaziona dola milion Mia NNE siyo zakuacha hivihivi.
Nawakumbusha Tu maana mambo NI mengi uchaguzi...
Hello wana JF!
Kama wewe ni mdada na upo Tanga mjini lets connect,
weekend ni raskazone na tanga beach kwa story za hapa na pale,
kula kushiba usiwaze,
KUNTI MAJALA AHOJI KWANINI TANGA CEMENT ILAZIMISHWE KUUZWA TWIGA CEMENT
Mhe. Kunti Majala, Mbunge wa Viti Maalum tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri...
ALEXANDER MNYETI ATAKA TANGA CEMENT IRUDI KUWA MALI YA SERIKALINI
Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Alexander Pastory Mnyeti tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
MBUNGE MHE. GETERE - TANGA CEMENT INA HIFADHI YA MALIGHAFI YA SARUJI HUKU TWIGA CEMENT WANA MITAMBO MIZURI YA KUZALISHA SARUJI
Mbunge wa Jimbo la Bunda Vijijini Mhe. Boniphace Mwita Getere amegusia suala la Twiga Cement na Tanga Cement huku akichangia hoja ya bajeti ya Wizara ya Uwekezaji...
Habari Wana JF!
Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
MBUNGE JUDITH KAPINGA ASISITIZA UTARATIBU UFUATWE BAINA YA TWIGA CEMENT NA TANGA CEMENT
Mbunge wa Viti Maalmu Vijana Kupitia Kundi la Vijna, Mhe. Judith Kapinga jana tarehe 04 Mei, 2023 amechangia Bungeni suala la Twiga Cement kuinunua Tanga Cement katika hoja ya bajeti ya Wizara ya Uwekezaji...
MHE. DUNSTAN KITANDULA - TARATIBU ZIFUATWE TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT
Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Tanga, Mhe. Dunstan Luka Kitandula wakati anachangia hoja ya bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara amesema kuwa watu wa Tanga hawatakuwa tayari kuona Tanga Cement inageuka kuwa...
MHE. TIMOTHE MNZAVA - MCHAKATO WA TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT UWEKWE WAZI KUONDOA MALALAMIKO
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Paul Mnzava leo Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara amesema Mchakato wa Kampuni ya Twiga Cement...
PART 1.
MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU.
MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE?
MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI.
Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?,
mnatuchuliaje WALIMU...
Katika harakati za kimaisha nikafika Tanga, maeneo yenye wasambaa wengi,
Kitu kilichonishangaza eti waganga wa kienyeji wa kisambaa, yani mtu hajawahi kufika hata Arusha mjini lakini unaambiwa anapandisha mashetani kisha unaambiwa ni shetani la kimasai na anaogea kimasai, kisha kuna kijana...
Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo.
Mbali na kupunguza...
Elimu inayotolewa kwa makundi ya vijana Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga imechangia kupunguza idadi ya mimba za chini ya umri wa miaka 19 (mimba za utotoni).
Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Mratibu wa Afya ya Mzazi na Mtoto Wilaya ya Muheza, Angelina Sengwaji anaeleza kuwa...
Ni kweli unatoa kalibu madini yote yanayochimbwa duniani; kwanini kule kuna umasikini wa kutisha hakuna maji wala umeme. Kuna mto umba ndo mtetezi wao kwa maji japo yana magadi ukibandika maharage siku mbili hayaivi.
Tabu ni nyingi sana kule hakuna mawasiliano mitandao ya simu haikamati mpka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.