tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Changamoto ya maji wilaya ya Handeni mkoani Tanga ulikuwa mtaji wa kisiasa. Mradi wa htm ni taa ya giza la muda mrefu

    Anaandika Almaliki Mokiwa Februari 28, 2024. Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
  2. Tanga: UWASA yazindua Hatifungani ya kwanza Afrika Mashariki ya Miundombinu ya Maji yenye thamani ya bilioni 53.12

    Tanga: Hatifungani ya kijani ya miundombinu ya maji yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12 imezinduliwa na Mamlaka ya Maji Tanga, taasisi ya serikali inayojitegemea. Hatifungani hii ya kwanza katika historia ya masoko ya mitaji nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, inalenga kugharamia mradi wa...
  3. Barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kupandishwa hadhi kuwa Barabara Kuu “TRUNK ROAD”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  4. J

    Barabara Ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe Kupandishwa Hadhi Kuwa Barabara Kuu “trunk Road”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  5. K

    Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  6. Various Job Vacancies at Tanga Regional Referral Hospital (BOMBO) February, 2024

    The Tanga Regional Referral Hospital (BOMBO) would like to announce job opportunities for the following professions: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24/02/2024 Maombi yote yawasilishwe masijala ya Hospitali au kupitia barua pepe barua@tangarrh.go.tz
  7. Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

    Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
  8. S

    Ijengwe Barabara ya lami kutoka Karatu-Meatu-Bariadi na Meatu-Kolandoto-Shinyanga, Mafuta yachukuliwe Tanga utaona mabadiliko makubwa sana

    Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda watachukulia mafuta bandari ya Tanga, Dsm ni mbali na kuna msongamano mkubwa. Pili barabara ya njia 4...
  9. R

    Mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani anazuga tu, hakuna anachofanya

    Barabara kama ile haiwezi kufanywa kwa magari mawili ya kusomba vifusi na compactor 2. Wamepewa hela na ili waonekane wako site ndio upuuzi wanaoufanya, kuzuga kuwa wako site kumba hamna lolote linalofanyika. Bashungwa or anybody in charge of this ministry, come and see!
  10. R

    Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

    Tumefika hapa tulipo. Rais Samia take note of that!
  11. PreGE2025 Mwenyekiti CCM Mkoa wa Tanga Achangia Milioni 10 Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mwembeni

    KOMREDI RAJABU ABDURRAHMAN ACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA MWEMBENI "Katika kuitekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 nimechangia Tsh 10,000,000/ (milioni kumi) kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mwembeni, Kata ya Madanga wilayani Pangani" - Komredi Rajabu...
  12. PreGE2025 Kauli za Makonda huko Kilimanjaro, Tanga na Arusha: Je, anaona waliopo wanapwaya?

    Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
  13. Baada ya maboresho kukamilika, Bandari ya Tanga imeanza kazi, shehena na meli zaongezeka

    Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli zinazohudumiwa katika bandari hiyo jambo ambalo linachangia ongezeko la mapato. Hayo yamesemwa Jumanne tarehe 23 Januari, 2024 na Meneja...
  14. Masoud Mrisha: Sasa Bandari ya Tanga itakuwa na uwezo wa kuhudumia hadi tani 3,000,000 kwa mwaka. Awali ilikuwa tani 750,000

    BAADA YA MABORESHO KUKAMILIKA, BANDARI YA TANGA IMEFUNGUKA NA KUZALIWA UPYA, SHEHENA NA MELI ZAZIDI KUONGEZEKA Na mwandishi wetu, Tanga Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli...
  15. F

    DOKEZO Responded Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
  16. Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tanga kuna uozo mkubwa, Serikali imulikeni

    Kwanza nianze kwa kuwapa salam. Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
  17. Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi

    Kufuatia hoja mbili kuhusu kilichotokea katika Hospitali mbili za Mkoani Tanga, mamlaka zimetoa majibu. Hoja zenyewe ni hizi hapa: = Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine = Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati...
  18. K

    Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati mama mtu akijifungua Hospitali ya Magunga - Tanga

    UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
  19. TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  20. S

    DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…