Wateja wapya TANESCO kukopeshwa majiko ya Umeme

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
419
Reaction score
553
Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi 11,000 wa Tanesco.
 
Bila shaka wao wanapotumia umeme bure au kwa bei za ki staff na sisi wengine ni hivyo hivyo.
 
Hivi kama Taifa kipaumbele chetu hasa kwenye nishati ya kupikia ni kipi?

Mbona kama tunayumba yumba?
Ni Gas au umeme......
Je kati ya Gas na umeme kipi nafuu kwa mtu wa maisha ya chini na kati.
 
Back
Top Bottom