tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. M

    Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
  2. K

    Tanesco Morogoro kila mara ni kuomba radhi tu?

    SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO. TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO. Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
  3. TANESCO Mtwara, walipeni vibarua posho zao kwa wakati

    Kilio cha vibarua kufanyishwa kazi ngumu badala yake kutolipwa kwa wakati posho zao. MKOJO WA MBWA) Wahusika fuatilieni then wasaidieni ndugu zetu.
  4. TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami. Rejea hapa. LUKU 37212843355 990022123320138178 1.5KWH 0029 2493 0496 3524 7260 Cost 409.84 VAT 18% 73.77 EWURA 1% 4.10 REA 3% 12.29 Debt Collected 4,500.00 TOTAL 5,000.00 Kweli Umeme...
  5. Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

    Na nimeelewa sasa kuwa 1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo. 2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
  6. TANESCO: Ili upate umeme kwa mwezi Agosti, nunua wa zaidi ya Tsh. 2,000/-

    Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000) Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
  7. Maswali fikirishi Juu ya Tozo za Majengo kupitia mfumo wa kununua Luku

    Kuanzia leo Agosti 20, 2021 rasmi serikali imetangaza kuanza kukusanya kodi ya majengo kupitia ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku. Ni wazo jema lakini limegubikwa na utata, ni wakati sasa wa serikali kujitokeza hadharani na kutolea ufanunuzi na kujibu hoja hizi hapa chini: 1. Tozo ya majengo...
  8. M

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
  9. Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

    Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne: 1. VAT - 18% 2. Ewura - 3% 3. REA - 1% 4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000) Awamu ya sita, tozo ziendelee!
  10. N

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  11. Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  12. TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

    Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
  13. Waliobadilishiwa tozo bila kubadili matumizi watakiwa kuripoti TANESCO

    NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema watumiaji wa Umeme Waliobadilishiwa Tozo za kutoa huduma (TARIFF) kutoka kundi moja kwenda jingine pasipo wao kubadilisha matumizi halisi watoe taarifa katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kufanyiwa marekebisho ya tozo hizo...
  14. TANESCO Shinyanga hawaunganishi wateja wapya kisa magari mabovu

    Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu! Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje...
  15. Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

    Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000. Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi. 1. Hakuna surveyor 2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia 3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
  16. TANESCO wameigomea bei elekezi ya Tsh 27,000

    Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo...
  17. Kama huna kiwanda ndani, umeme wa jua ni rahisi na wa uhakika?

    Hello! Umeme wa jua ni bora na ninatamani Watanzania wote wangekuwa nao. Ukinunua system ya umeme wa jua kwa sh.laki nane unaweza kutumia kwa matumizi ya friji dogo la nyumbani, ukawasha TV, redio, ukanyoosha nguo and so. Hakuna kulipa kila mwezi kama zamani au kukosa umeme kwakuwa luku...
  18. TANESCO ya sasa imekuwa pambo; kipindi cha Magufuli ilikuwa ni ya kiutendaji

    TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco...
  19. TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa wa Mwanza

    Tanesco acheni dharau kwa Rais Samia Leo katika mkoa wa Mwanza nimeona kitendo ambacho sio cha kiungwana na kinachoonesha dharau kwa mamlaka. TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa huu. TANESCO mnashindwa kutambua kwamba, mwenge unapopita sehemu au mkoa wowote ule ni...
  20. TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    TANESCO Mmekuja mwanzoni mwa mwezi wa sita mkasema mnatulipa wiki ya mwisho wa mwezi wa sita sasa ni tarehe 6 mwezi wa saba hamjatulipa na tumesubiri toka 2016. Kama hamtulipi tupeni mamlaka ya kuendeleza maeneo yetu tumechoka, wiki ikiisha sasa wengine tutalilipoti kwa Rais Samia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…