tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

    Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana. Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa. Mwezi ukapita, nikaenda...
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  3. MoneyHeist4

    JamiiForums Tanzania Mwauwasa ni Zaidi ya Tanesco sio kwa Gharama hizi za maji.

    Nyumba yangu iko umbali wa mita 150 kutoka bomba kubwa la maji lilipo. Nimeenda ofisini nikaambiwa nitoe 1.3M ili niweze kupaitwa huduma ya maji. Nikajiuliza kwanini gharama kubwa namna hii au kwakuwa maji ni uhai. Nikaondoka zangu huku kichwani nikiwa na mawazo ya kuendelea na ule mfumo wangu...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TANESCO huu mgao kwanini hamtolei maelekezo?

    Kumekuwa na kukatwa kwa umeme baadhi ya maeneo ya nchi kuanzia asubuhi hadi jioni mengine kuanzia jioni hadi usiku sana tungetamani Tanesco watufahamishe kuhusu huu mgao au tatizo lililopo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  6. stineriga

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa luku unasumbua Tanesco kimya

    Zaidi ya mara nimejaribu kununua bila mafanikio. Tanesco wapo kimya.
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania TANESCO acheni kukatakata umeme!

    Siku ya leo, ndani ya masaa haya manne, mmekata umeme zaidi ya mara 20. Nia yenu ni nini? Kuna mtu aliniambia kuna watu ndani ya Wizara hawampendi Waziri Makamba kwa hiyo wanamfanyia figisu mbalimbali ili atolewe. Mimi simtetei wala simkubali huyo Waziri wenu ila kama ni kweli mnafanya haya...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati imulikeni TANESCO vizuri

    Waziri wa hii wizara sijui kama ana tambua kwamba bado wale wateja waliolipia 27k NC mpaka leo baadhi / wengi wao wana sumbuliwa kwa maana bado hawajawekewa huduma ya umeme ... Awali ilisikika ya kuwa tareh 30 March w022 ndio ilikuwa mwisho kwa wateja hawa kuwekewa umeme ...lakini mpaka leo...
  9. Freiston

    JamiiForums Tanzania Kama unataka TANESCO ibinafsishwe njoo hapa uone

    Sina maneno angalia hapa Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Kazi iendelee
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
  11. coronath julius

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulaji mkubwa wa umeme kwa matumizi yale yale kwenye mita ya 3-Phase

    Wadau naombeni msaada kwa hili jambo,, Yaani siku hizi tangia wiki jana , ulaji wa umeme kwenye mita za 3phase umekuwa mkubwa mno. Yaani, ukiweka umeme ambao kwa kazi ileile ulikuwa unatumia labda siku 4, siku hizi unatumia siku moja kwa kazi hiyohiyo unaisha. Nimeleta mafundi wa umeme...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanesco na tenda kwa kampuni binafsi; TTCL na kampuni binafsi za simu kuanzishwa TCRA

    TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA. Leo 12:15pm 03/05/2022 Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kutokukamilika kwa Mradi wa Umeme Rufiji mwaka 2022 kama ilivyotakiwa na sasa Kukamilika 2024 ni Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Dkt. Magufuli

    Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini. Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano. Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani...
  14. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE'

    Mnyonge mnyongeni LAKINI haki yake mpeni, pamoja na shida ya kukatika katika kwa umeme lakini wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE' Kwa kutumia nikonect app utapata Huduma UNAYOTAKA. Mara nyingi nimetumi app hiyo kutoa taarifa changamoto mbalimbali hufika mapema. HONGERENI TEAM...
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wateja tuliolipia 27,000 Tanesco mpaka leo tunazungushwa

    Kwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili.. Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za...
  16. kidereko

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia. Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dar: Omary, Juma, Amos, Mokolo wakamatwa kwa wizi wa nyaya za TANESCO

    Jeshi la Polisi limewakamata watu wanne (4) kwa tuhuma za kujaribu kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanesco ikiwemo Nyaya aina ya Copper kwa lengo la kuziuza. Watuhumiwa hao; ni OMARY ALLY, miaka 28, Mkazi wa Tegeta na mwenzake JUMA SULLEIMAN, Miaka 30, Mrangi, mkazi wa Wazo na wanunuzi...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini TANESCO? Umeme unashindwa hata kuwasha redio kwa baadhi ya maeneo

    Hili jambo la umeme wa TANESCO kuwa mdogo na kukatakata likuwa likijirudia kila mara kwa nyakati tofauti na hili jambo limekuwa kama mazoea. Majuzi Jumatano ilifika kipindi nikafikiri radio imeungua kabisa hii ni kutokana kwa umeme kuja gafla na kukata na baadae nilishangazwa umeme na uona...
  19. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  20. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu kuhusu TANESCO kwa huu utendaji wao

    Miaka ya nyuma kuwekewa tu simu ya mezani ilikuwa ni issue kubwa unaweza ukazungushwa sana. Mara paaap zikaja simu za mikononi TTCL yale maringo hayapo tena. Shirika la Posta sina ushahidi nalo kuhusu tuhuma za usumbufu mara paaap simu za mkononi kutumiana message sio lazima kuandika barua, siku...
Back
Top Bottom