luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili..
Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za tanesco , danadana zinakuwa nyingi mara nguzo hamna, mara tuna wawekea wateja walio omba mwezi wa 8 yaan sababu ni nyingi na hamna mashiko
Pia tukumbuke Serikali yako.ilitoa tamko kuielekeza tanesco mpaka kufikia March 30 ,2022 wale wateja wote waliolipia 27 K wawe wameunganishiwa umeme lakini utekwlezaji wa maelekezo haya ni HOLAAA
Binafsi niliomba na kulipia huduma ya kuunganishiwa umeme tangia mwanzoni mwa december 2021 lakin mpaka leo sijapata iyo huduma yaan ni takriban miezi 5 sasa
Tusaidie mamaaa, sema neno tu na roho zetu zitatuliaaaa, ukitoka ughaibuni walau utoe kauli mamaaa