Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

kidereko

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
882
1,254
Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia.

Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa serikali inawajali wananchi, na ndiomaana imewapunguzia Bei ya kuunganishiwa umeme, Sasa wanasemaje Ni Bei ambayo haikuwa kwenye uhalisia,inamaana wakati wanaipitisha walilazimishwa na wananchi au Ni wao wenyewe tu walihamua kwa utashi wao?

Huu Kama nikweli ni uhuni kabisa, na saizi nilikuwa namsikiliza mzungumzaji wa Tanesco alikuwa anahojiwa na Kipindi Cha Asubui Cha ITV, akisema eti zile Bei hazikuwa halisi, Sasa sisi zinatuhusu Nini. Mimi nilijenga nyumba yangu, Nikakamilisha kila kitu, na nikaenda Tanesco kutaka umeme, wakanipa bei yao halisi nikalipia. Bei ambayo walipanga wao sio Mimi mteja, na hata ingekuwa milioni inamaana ningelipia tu Kama mteja, maana nisingekuwa na namna,

Sasa hii mshachukua hela za watu, na mshakaa nazo karibia miezi minne Hadi sita, Wengine na hela zenyewe tushamaliza katika ujenzi, leo unamtuambia habari za Bei haikuwa halisi, hiyo Bei mlifosiwa kwani au.

Mimi Kuna bi mkubwa wetu amelipia umeme tangu mwezi wa kumi ni maajabu haya
 
January Makamba atoke, kashindwa kazi
hapana,Wala sio issue ya January Makamba kutoka, nanyie acheni siasa zenu za kipuuzi,akitoka yeye ndio itakuwa nini au aje nani
 
Hao TANESCO Ni Wala Rushwa wakubwa kuliko watu wowote nchi hii Bora hata Polisi, huduma mbovu mlungula wanachukua, Makamba weka displine fukuza Wala Rushwa wote usiwaonee huruma, hatuwezi kuwa na shirika kupata huduma utoe hela wakati wanalipwa mishahara mikubwa tu.
Exactly
 
Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia,

wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa serikali inawajali wananchi, na ndiomaana imewapunguzia Bei ya kuunganishiwa umeme, Sasa wanasemaje Ni Bei ambayo haikuwa kwenye uhalisia,inamaana wakati wanaipitisha walilazimishwa na wananchi au Ni wao wenyewe tu walihamua kwa utashi wao?

Huu Kama nikweli ni uhuni kabisa, na saizi nilikuwa namsikiliza mzungumzaji wa Tanesco alikuwa anahojiwa na Kipindi Cha Asubui Cha ITV, akisema eti zile Bei hazikuwa halisi, Sasa sisi zinatuhusu Nini, Mimi nilijenga nyumba yangu, Nikakamilisha kila kitu, na nikaenda Tanesco kutaka umeme, wakanipa bei yao halisi nikalipia ,Bei ambayo walipanga wao sio Mimi mteja, na hata ingekuwa milioni inamaana ningelipia tu Kama mteja, maana nisingekuwa na namna,

Sasa hii mshachukua hela za watu, na mshakaa nazo karibia miezi minne Hadi sita, Wengine na hela zenyewe tushamaliza katika ujenzi, leo unamtuambia habari za Bei haikuwa halisi, hiyo Bei mlifosiwa kwani au.
Wala haitakuwa haki kama wanafanya hivyo kwakuwa kuna utekelewaji kabla ya mabadiliko na utekelezaji baada.Waunganishiwe mana walijisajili kabla ya mabadiliko.
 
Basi acha kulia Lia hovyo,ulishaambiwa Bei ya tsh.27,000 haiwezekaniki,Sasa endelea kukaza Hilo fuvu Lako.
kwaiyo wateja walifosi kwenda kutumbukiza hizo hela kwenye account za Tanesco bila kuandikiwa wakalipie na wao wenyewe Tanesco, kama Ni hivyo wateja Wana makosa wapewe economic cases,

dada we shida yako ningebariki unachosema wewe kuwa January ndio tatizo, kwani January Makamba yeye ndio alipanga au kupangua hizo Bei?? Au huna kumbukumbu
 
Sio kweli waliolipia 27,000 kabla ya bei kubadilishwa wote wataunganishwa ni suala la muda tu demand ilikuwa juu sana yaani wateja waliolipia walikuwa wengi mno tofauti kabisa na vifaa vilivyopo ni sawa umelipa 27k lakini gharama halisi ya vifaa pamoja na mita inazidi 250k unadhani hiyo nyingine wanaipata wapi? Serikali haitoi ruzuku
 
Mke wangu una mdomo kama wa chuchunge.Kawatunuku tunda watakuunganisha kwa tsh.27,000 mtoto mzuri
 
Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia,
Ndugu, na wewe wa mjini unataka bei ya kijijini? Elfu 27,000 unaweka lita ngapi kwenye gari lako leo na kwa bei gani? sasa unataka mzigo huo uwape Tanesco?
 
Ndugu, na wewe wa mjini unataka bei ya kijijini? Elfu 27,000 unaweka lita ngapi kwenye gari lako leo na kwa bei gani? sasa unataka mzigo huo uwape Tanesco?
we hujielewi ,Mimi sio jukumu langu kuhusu wao watapanga bei ipi, mwaka 2008 nimevuta umeme pamoja na nguzo kwa Tsh 1500,000/= kwaiyo elewa kwamba tatizo sio Bei,na Tanesco haiongozwi na mazezeta, kusema labda hiyo Bei walijipangia wateja from nowhere,inaongozwa na wasomi ,

Mimi nishalipia,wao jukumu lao kuja kutunganishia umeme,suala la Bei ya hasara au faida Ni kimpango wao mzee! acha kujifanya unajua kila kitu,

Hatulalamiki kwanini Bei imerudi ya zamani,tunalalamika kwanini hawatuunganishii umeme wa hoja zao mfu,
 
Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia,

wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa serikali inawajali wananchi, na ndiomaana imewapunguzia Bei ya kuunganishiwa umeme, Sasa wanasemaje Ni Bei ambayo haikuwa kwenye uhalisia,inamaana wakati wanaipitisha walilazimishwa na wananchi au Ni wao wenyewe tu walihamua kwa utashi wao?

Huu Kama nikweli ni uhuni kabisa, na saizi nilikuwa namsikiliza mzungumzaji wa Tanesco alikuwa anahojiwa na Kipindi Cha Asubui Cha ITV, akisema eti zile Bei hazikuwa halisi, Sasa sisi zinatuhusu Nini, Mimi nilijenga nyumba yangu, Nikakamilisha kila kitu, na nikaenda Tanesco kutaka umeme, wakanipa bei yao halisi nikalipia ,Bei ambayo walipanga wao sio Mimi mteja, na hata ingekuwa milioni inamaana ningelipia tu Kama mteja, maana nisingekuwa na namna,

Sasa hii mshachukua hela za watu, na mshakaa nazo karibia miezi minne Hadi sita, Wengine na hela zenyewe tushamaliza katika ujenzi, leo unamtuambia habari za Bei haikuwa halisi, hiyo Bei mlifosiwa kwani au.

Mimi Kuna bi mkubwa wetu amelipia umeme tangu mwezi wa kumi ,Ni maajabu haya
Aisee bro uwe unasikiliza vyombo vya habati tanesco hili suala wsmelieza waziwazi kuwa ni lazima uongeze fedha ndio wakuwekee umeme
 
Sio kweli waliolipia 27,000 kabla ya bei kubadilishwa wote wataunganishwa ni suala la muda tu demand ilikuwa juu sana yaani wateja waliolipia walikuwa wengi mno tofauti kabisa na vifaa vilivyopo ni sawa umelipa 27k lakini gharama halisi ya vifaa pamoja na mita inazidi 250k unadhani hiyo nyingine wanaipata wapi? Serikali haitoi ruzuku
Suala la hiyo inayozidi wataitoa wapi mimi Kama mteja sio jukumu langu kujua, maana hata Rais alibariki hiyo Bei ya 27000, na hao wote Ni wasomi, mwaka 2008 umeme pamoja na nguzo tulivuta kwa 1500,000/= na mwaka 2013 umeme na nguzo tulivuta kwa 550,000/= ushawai kusikia walilalamikia Bei wateja? Au ulikuwa bado unanyonya,

Miaka yote Bei Tanesco wanapanga wenyewe,sio wateja, kwaiyo sisi haituhusu, madhali tumeshapia kihalali,na Bei ilikuwa halali kisheria,Basi jukumu lao watuunganishie umeme tu,

Hata wakirudisha Bei Kama za miaka ya nyuma tutalipa tu, hakuna wakulalamika,maana ukilalamika utaambiwa mbona kwenye gari unaweka mafuta karibia ya Laki na
 
Hio ndiyo mfumo wa Tanzania ulivyo
Kwenye mashirika na tasisi zetu
Mpaka utoe hela ya ziada ndiyo wakufanyie zoezi lao

Ova
 
Aisee bro uwe unasikiliza vyombo vya habati tanesco hili suala wsmelieza waziwazi kuwa ni lazima uongeze fedha ndio wakuwekee umeme
Weka hiyo clip wakisema kuwa lazima eti tuongeze hela ndio watuunganishie wateja ambao tushalipia kwa Bei ya 27000, watarudisha hela zetu na riba, we subiri, tutawaburuza mahakamani Hawa,

Maana Kuna mtu ameshindwa kupangisha jengo lake sababu umeme hajaunganishiwa Hadi leo, sasa watatulipa ghalama zetu kwa Muda waliotukosesha mapato
 
Back
Top Bottom