Freiston JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 302 Reaction score 340 May 12, 2022 #1 Sina maneno angalia hapa Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Kazi iendelee
S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,751 Reaction score 3,693 May 12, 2022 #2 Ngoja na sie ifike siku tutishiwe kuzimiwa mitambo ya tehama na Wahindi.
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,814 Reaction score 4,003 May 12, 2022 #3 Mafisadi yanapigania kumiliki nishati Wanajua nishati ndio roho ya nchi Wakishamiliki nishati wamewamiliki watanganyika
Mafisadi yanapigania kumiliki nishati Wanajua nishati ndio roho ya nchi Wakishamiliki nishati wamewamiliki watanganyika
Freiston JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 302 Reaction score 340 May 12, 2022 Thread starter #4 utah jazz said: Mafisadi yanapigania kumiliki nishati Wanajua nishati ndio roho ya nchi Wakishamiliki nishati wamewamiliki watanganyika Click to expand... Kwakweli.... tuombe Mungu tu
utah jazz said: Mafisadi yanapigania kumiliki nishati Wanajua nishati ndio roho ya nchi Wakishamiliki nishati wamewamiliki watanganyika Click to expand... Kwakweli.... tuombe Mungu tu