Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,415
Katika pitapita zangu leo nilikutana na mdau mmoja anaitukana TANESCO kwamba anaichukia kuliko..., Kabla sijamuunga mkono nikakumbuke msemo wa Kingereza Give a Dog a Bad Name so you can Hang it...
Nikasema duh hii isije ikawa prelude ya wale wadau wa kuiuza Tanesco au Kuibinafsisha..., Nikajiuliza kubinafsisha nini uzalishaji au usambazaji au kila kitu...., Am all for free Market lakini kwanini hili shirika letu tusikae nalo na hao wawekezaji wazalishe hata kama ni solar au chochote kwa bei nafuu zaidi na kuwauzia TANESCO ? Ila nikajua majibu taambiwa hawa wameshashindwa kazi...
Duh nikaona ngoja niwe a self appointed mtetezi wa Tanesco na nishuke UZI mwingine wa Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla (Tanesco the Light of Africa au Tanesco Powering Africa.....)
www.jamiiforums.com

Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...