tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Assad, ili RichMond Mpya iingize mtambo Kimyakimya!

    Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati. Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.! Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge? Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini? Tuliambiwa Tatizo ni service ya...
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO: Mtambo wa kuzalisha Megawati 20 za umeme umewasili Nchini ukitokea Marekani

    Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme. Leo Jumanne Desemba 6,2022, TANESCO imetoa ripoti kuwa tayari mtambo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO kwanini mnafurahia kututesa Watanzania?

    Mmeshindwa kutupa umeme wa uhakika tunawaangalia tu. Sasa mmeshindwa kuja na ratiba rasmi ya huo mgao wenu ili hata mtu apangilie ratiba yake ya siku maana shughuli nyingi bila umeme haziendi? Sasa mnakata umeme saa 2 usiku weekend, mnataka twende wapi muda huu? Hivi furaha yenu ni kuona...
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  5. JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

    Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'. Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive...
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO: Matatizo ya Umeme kutengemaa ifikapo Februari 2023

    ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea jitihada zao za kuingiza megawati 90 ili kupunguza mgawo wa umeme

    Tamko la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu mchakato wao wa kupunguza changamoto ya uhaba wa umeme, wameelezea hatua waliyofikia hadi leo Novemba 28, 2022:
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO yafuatilia malalamiko ya ratiba mgawo wa Umeme

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema wanafuatilia malalamiko ya wateja wake ya kutofuatwa kwa ratiba ya mgawo wa umeme, wakiwemo wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa nyakati tofauti, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekuwa wakiulalamikia mwenendo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

    Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme. '....unarushaje live mikutano ya mama ili hali...
  12. JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iyaachie mashirika muhimu ya umma yenye kutoa huduma kwa jamii moja kwa moja yajitegemee kila kitu kasoro usimamizi tu

    Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo... Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma. Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ni kwa kiasi watu wanawaamini Makamba na Tanesco angalia hii picha!

  14. JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  15. JamiiForums Tanzania Press Release za TANESCO Zimejaa MW. MW Utadhani watanzania wote ni Electrical Engineers

    Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa. Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao. Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga. TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini. Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini ==== Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
  18. JamiiForums Tanzania Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  19. JamiiForums Tanzania Wasichokitaka Tanesco ukijue hiki hapa, pitia uzi huu utanishukuru baadaye na utajipanga na hili

    TAARIFA HALI YA UPATIKANAJI HUDUMA (UMEME) Katika kipindi cha huu mwezi November tuna hali isiyoridhisha ya utoaji huduma kwa mujibu wa haki, wajibu na taratibu za utoaji huduma kwa wananchi ( wateja) kama mikataba yetu ya huduma kwa wateja inavyoelekeza Takribani 23% ya wateja wetu wamekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…