tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

    Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
  2. Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  3. Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

    Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati akitoa maelezo kama alivyotakiwa na Spika wa bunge Dk Tulia Akson. Dk...
  4. Serikali yaifutia TANESCO deni la Tsh. Trilioni 2.4

    Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali inayowakimbiza wawekezaji. Hali hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi, Serikali huwa inakopa kisha...
  5. TANESCO - The Case of Giving a Dog a Bad Name

    Katika pitapita zangu leo nilikutana na mdau mmoja anaitukana TANESCO kwamba anaichukia kuliko..., Kabla sijamuunga mkono nikakumbuke msemo wa Kingereza Give a Dog a Bad Name so you can Hang it... Nikasema duh hii isije ikawa prelude ya wale wadau wa kuiuza Tanesco au Kuibinafsisha...
  6. Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  7. DAWASA na TANESCO kwanini hamzingatii ratiba?

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na kero kubwa ya kampuni za DAWASA na TANESCO kutoa ratiba ya kuwepo au kutokuwepo na huduma sehemu fulani kwa siku fulani lakini ukiifuata unaambulia patupu. Makampuni haya yamekuwa yakiwapoteza watu mbalimbali kwa sababu ya kutoa ratiba zisizofuatwa. Siku chache...
  8. TANESCO kumaliza tatizo la umeme Tanga kufikia Machi 2023, waelezea kuzalisha umeme kwa njia ya jua

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeweka wazi mipango yake ya kumaliza tatizo la umeme kwa asilimia 100 Mkoani Tanga kufikia Machi 2023, huku kukiwa na mikakati ya kuzalisha umeme kwa njia ya jua kufikia mwishoni mwa mwaka huu (2022). Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa...
  9. Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uwepo wa matengenezo kadhaa, leo Jumatatu Oktoba 24, 2022 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nane mchana. Matengenezo yanayofanyika katika mtambo namba mbili wa kuzalisha...
  10. Mtaa wa Kihodombi, mkoani Iringa wamewakosea nini Tanesco

    Hii ni mitaa ya watu was hali ya chini kila siku nikienda kumsalimia bibi yangi nakutaga na Giza. Msionee maskini
  11. Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote

    Akiwa Clouds TV, waziri wa nishati January Makamba amesema bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere linaisha mwezi Juni mwaka 2024 na wameamua kwenda na uhalisia na hawaoni aibu kusema litaenda miaka miwili mbele kuliko tarehe iliyotarajiwa kwani kwa namna yoyote isingewezekana ile tarehe...
  12. Rais Samia azindua mradi wa Umeme Nyakanazi, yaelezwa utasaidia kuokoa Tsh Bilioni 60 za jenereta

    Rais Samia Suluhu Hassan, Oktoba 16, 2022, amezindua mradi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme mkubwa wa 220kV/33kV cha Nyakanazi Mkoani Kagera ambao umekamilika. Aidha, Rais amezindua maeneo manne ya mradi huo ambayo ni; Njia ya umeme msongo wa Kilovoti 220 kutoka Geita mpaka...
  13. Hivi ni kwanini TANESCO wanashindwa kutoa ratiba ya mgao wa umeme?

    Karibu nchi nzima, maeneo tofauti tofauti yanakatika katika umeme kila siku hususani kwa siku za karibuni pasipo kutolewa taarifa na Tanesco, na jambo hilo linaathiri sana maisha ya watu na shughuli zao. Sote tunajua Tanzania tupo kwenye mgawo wa umeme. Sasa kuna ugumu gani kwa TANESCO kutoa...
  14. Kituo cha kupoza Umeme cha Mpomvu kuipa Geita umeme wa Megawati 90

    Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18. Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
  15. Tunahusika na uwekaji mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tuna leseni ya Ewura na tumesajiliwa kwenye mfumo wa Nikonekt

    Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu. (1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na...
  16. Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  17. TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo katika mikoa 17 itakayokosa umeme kwa siku mbili Oktoba 9 & 10, 2022

    TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu. Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu...
  18. R

    Pendekezo kwa Tanesco kuhusu kusambaza umeme kwa wahitaji wa eneo husika

    Kwa vile Tanesco haina fedha za kutosha kusambaza umeme kwa wahitaji wote na kwa muda muafaka napendekeza ifuatavyo: 1. Watu ni wagumu kuchangia kupata huduma ya umeme. Akitokea mtu/watu wakajitolea kuvuta umeme, basi wengine ambao wamegoma kuchangia kuvuta umeme huo, wasiwekewe umeme mpaka...
  19. TANESCO: Mabwawa ya kufua umeme yamekauka

    "....Kihansi, Hale na Bwawa la Mungu yote yamekumbwa na uhaba wa maji hali inayopelekea mchana kutozalisha umeme ili kujaza maji ili usiku uzalishaji ufanyike." TANESCO. ======= Mamlaka ya Hali ya Hewa hivi karibuni ilitoa taarifa juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoleta athari nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…