tamisemi

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia aielekeza TAMISEMI kusimamia huduma za Ugani kwa tija na ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
  2. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe ahaidi TAMISEMI kutekeleza kikamilifu jukumu la usimamizi wa DART

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Ofisi yake itatekeleza kikamilifu jukumu la kuisimamia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vumbi la Tamisemi

    Nimekuwa nikukutana na picha za watumishi wa sherikali hasa wakiposti maeneo mbalimbali ya nchi ya vijijini na changamoto za miundombinu zilivyo Na kuna wengine wanafikia kusema huko mimi siwezi kufanya kazi huko, mara hoo uko watu wanaishije nk Lile vumbi ambalo unaliona wewe leo linaweza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini TAMISEMI wanatumia muda mrefu kutoa mrejesho wa majibu ya Uhamisho?

    Habari JamiiForums, Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026, lakini hadi sasa bado yanaonesha kuwa yapo TAMISEMI bila hatua yoyote kuchukuliwa. Pia hakuna mrejesho...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tahadhari: Mtu Anayejitambulisha Kama Afisa wa Ajira TAMISEMI anawatapeli wanaotafuta Ajira

    Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa nilizopata kutoka kwa wengine, naomba mamlaka husika zifuatilie suala hili kwa haraka ili kuwalinda...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Kiteto hatujalipwa pesa ya kujikimu ila michango ya Mwenge tunadaiwa

    Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya). Mpaka sasa tunadai hela zetu za kujikimu, ila tukifika kwa viongozi wetu wanatupa ahadi ambazo hazijawahi kutimia. Tayari TAMISEMI walishatoa barua kuhusu Malipo ya ajira mpya kabla ya tarehe 15 June ila cha kushangaza mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania TAMISEMI, suala la ustawi wa familia lichukulieni kwa uzito mkubwa

    Tunafahamu kuwa utumishi wa umma unahusisha kufanya kazi popote pale kulingana na mahitaji ya Serikali. Hata hivyo, ni muhimu pia kutambua kwamba familia ndiyo msingi wa jamii imara. Kuna watumishi wengi, hususan wanawake walioolewa na wanaume waliooa, ambao hupangiwa vituo vya kazi katika...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mji TARIME imekaidi agizo la Katibu Mkuu TAMISEMI kulipa posho za pesa za KUJIKIMU watumishi wapya

    Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya...
  9. JamiiForums Tanzania Responded Wizara ya Michezo na TAMISEMI wako wapi wakati viwanja vya michezo na maeneo ya kijamii vikiendelea kubadilishiwa matumizi?

    Kuna mambo ya kusikitisha, na mengine yanayoumiza. Ni matukio yanayokufanya ujiulize maswali mengi bila kupata majibu hasa ukiwaza mwelekeo kesho kwenye mambo muhimu yanayogusa ustawi wa jamii. Mnamo Agosti 12, 2024, aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, alifika...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

  11. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu OWM- TAMISEMI, Mativila Aagiza Wakandarasi Kuzingatia Ubora Katika Utekelezaji Wa Miradi

    Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali chini ya Mradi wa TACTIC kuzingatia viwango vya ubora vilivyoainishwa katika...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tamisemi, Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani likizo wasibaki shuleni mtaàla wa sasa unapima ufahamu siyo content based curriculum

    Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Walimu wanaojitolea mradi wa GPE-TSP chini ya TAMISEMI hawaajiriwi rasmi pamoja na kucheleweshewa mishahara

    Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale. Kuna jambo linasikitisha kidogo, na kama ungekuwa ni wewe sidhani kama ungefurahia, mwaka jana 2025 serikali ilianzisha mradi wa kusapoti elimu yetu kutokana na upungufu wa walimu mashuleni na katika mradi huo viliainishwa vitu vingi ikiwemo sifa za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Wanafunzi kulazimishwa kusoma tuition shule za Serikali

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Bachelor degree courses zinatolewa UDOM lakini hazipo kwenye soko la ajira

    Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM. Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning, adult education and community development. Zote hizi na nyingine zinatolewa kwenye vyuo vikuu lakini...
  17. JamiiForums Tanzania TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
  18. JamiiForums Tanzania Video : Baba Levo Alivyomtilia Shoti Waziri wa Tamisemi Kwenye Familia Yake

    Mtu kaumbuka huku Hadi akalazimika kujitetea hadharani Ili Mke wake asiliamshe timbwili 😂😂😂😂👇👇 https://www.threads.com/@radiomaarifatz/post/DXKlIPljjqq?xmt=AQF0S1U-gBF5xxJ8wC0Ju0Or1znu4YiRDB5E_9pbsApAIoQokX9KopbCuzwusbMZynTJaZxd&slof=1 My Take Mambo binafsi ya kifamilia hayapaswi kuongelewa...
  19. JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwa nini hamtoi majina ya watumishi waliohama?

    Habari za leo? Ndugu zangu nimefikia uhamuzi huu wa kuuliza ni kwa nini Tamisemi haitoi majina ya watumishi waliopata uhamisho? Jibu ninalofikiria binafisi ni kutokana na kuwepo na uvunjifu wa sheria za uhamisho na hivyo basi wahusika kuamua kuficha uvunjifu huo. Hivi karibuni kumekuwepo na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TAMISEMI tembeleeni waajiriwa wenu kwenye vituo vya kazi hasa ajira mpya hawapokelewi vizuri

    Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya! Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya wanapokuja hawapokelewi vizuri vituo vyao vya kazi. Watumishi wapya wanapoleta chachu nzuri ya maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…