MIAKA IMEENDA SIONI FUTURE YANGU; NIMEKATA TAMAA!
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
"Nina miaka 33, sina mke, sina mtoto, sina kiwanja, Kodi inanishinda, wala sio Kodi nyingi haifiki hata elfu 50 Kwa mwezi lakini inanitoa jasho kuilipa, chakula nakula Kwa mbinde Kama mvuta upinde. Mavazi yangu ni...