Ubadhirifu unaochochewa na tamaa kwa watumishi wa umma Manispaa ya Temeke

freetalktoall

New Member
Feb 23, 2017
3
20
Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara.

Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine kudhani mifumo ya maagizo kutoka ngazi za juu za kisiasa yanafwatwa, Bali ukweli ni kwamba uwepo WA kiwango kidogo cha ushirika mwelekevu Kwa pamoja na au ufedhuli uliopo kwenye kukingiana kifua na kutimiza maslahi.

Juni 30 2021 Waziri wa Ardhi alitoa maagizo ya kurudishwa manispaa maeneo yote yasiyoendelezwa, na mashamba Pori ya NSSF kama VIKUNAI, MWAPEMBA yote haya yapo Tuangoma, Temeke, DAR es salaamlakini bado watendaji hawajafanya ivyo mpaka muda huu. Hii ninishara kua kuna uozo Temeke manispaa au mifumo ya utekelezaji WA Sera na mipango bado changamoto hapa nyumbani.

Temeke manispaa ni mfano Tu Ila izi changamoto zipo NCHI nzima.

Tuunde mifumo nyoofu ili mambo yetu yadumu wakati wote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom