Hivi wanaume wote wapo kama mimi?

Mughenyi

New Member
Jul 16, 2021
4
45
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
 
DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
1,142
2,000
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.

Umepata chanjo au bado?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,539
2,000
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
Sio wewe ni macho yako na tamaa iwakayo ndani yako.. Shibe ya macho ni kuona na kutazama.. Tamaa ndio inayokusukuma utazame nini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom