tajiri

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  4. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  5. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Pi Network anaomba nimrudishe kazini

    Huyu kijana aliyekuwa anafanya kazi hapa kama operator wa forklift, aliacha ghafla kuja kazini wiki chache zilizopita. Nikafanya jitihada kumtafuta akawa hapokei simu. Baada ya siku kadhaa akanipigia akaniambia anakaribia kuuza coin zake hivyo hafanyi kazi za kimaskini nitafute mtu mwingine...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  7. JamiiForums Tanzania Tajiri Ufaransa hataki kuondoka nchi maskini

    Emanuel Macron " Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake" Ibrahim Traore " Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi...
  8. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz kamfanya nini Tajiri GSM hadi hivi sasa hawaelewani, kawekwa Benchi na wamekuwa Paka na Panya?

    Mlioko Tanzania tafadhalini si vibaya kama mkatujuza Sisi tulio mbali nanyi katika hili Sakata ambalo limeshika Kasi mno.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa na mnaotafuta ajira hasa za serikalini, mna lipi la kuwaambia wanaosema ajira ni utumwa?

    Ajira ni Utumwa Hakuna Tajiri alieajiriwa Huwezi kurithisha watoto wa ajira
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa Tajiri ndani ya miaka mitano! Tazama hii picha

    How to Become Wealthy in 5 Years Become Financially Educated Learn Money Management Save Money to Invest Invest in Passive Income Sources Network with self-made Rich People Have Mutual Sources of Income
  11. JamiiForums Tanzania Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

    Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya' Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family...
  12. JamiiForums Tanzania Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Mnaacha Kuwaombea Watanzania wengi wenye Shida mbalimbali 'Mnajipendekeza' Kumuombea Mtu ambaye ni Tajiri hadi Umauti wake

    Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

    Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka 3.Omba Mungu sana Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  17. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  18. JamiiForums Tanzania Je, unatamani kuwa tajiri basi soma kwa umakini huu uzi

    “Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue” Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa kwa makusudi kukuweka kwenye mbio zisizoisha za kutafuta maisha, huku wao wakizidi kupaa juu. Ni...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…