tajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

    Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka 3.Omba Mungu sana Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  4. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Je, unatamani kuwa tajiri basi soma kwa umakini huu uzi

    “Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue” Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa kwa makusudi kukuweka kwenye mbio zisizoisha za kutafuta maisha, huku wao wakizidi kupaa juu. Ni...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  8. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video ya Hayati Reginald Mengi ni tajiri aliyekuwa na Uzalendo na Uchungu na Taifa hili tofauti na wengine wanaotumika kuhujumu Nchi

    Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida. Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Una kipi cha kumshauri Tajiri Chui katika magumu anayopitia ?

    Angalia pia https://youtu.be/53MhmoFZAN4?si=xlqIQQBbe9T22_kH
  10. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Eti tajiri ni mtu mwenye pesa au mali kiasi gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani? Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa. Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika maisha?

    Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
  12. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida ya tajiri kuchukiwa, kama unataka utajiri jiandae kwanza kuchukiwa

    Niliwahi kumuuliza tajiri mmoja ambae najua hela zake sio za kukwepa kodi kwamba "Kwa nini unajihusisha kutoa sana misaada wakati wewe ni tofauti na wengine sababu wengine hutumia hio njia kutakatisha fedha zao" akanijibu kuwa anataka angalau amani ya moyo tu. Akaendelea kusema kwamba wote...
  13. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Busara kutoka kwa baba tajiri

    Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD" cha Robert Kiyosaki 1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money): Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa kazi akili yako itaanza kufanya kazi kama akili ya mwajiriwa. Kama ukianza kufikiri tofauti kama mtu...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msumbiji itakuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani miaka 30 ijayo

    Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania. Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno. Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya. Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
  15. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ndio Lissu ni mbangaizaji. Lakini Mwalimu Nyerere aliwezaje kuiongoza TANU akiwa sio tajiri?

    Kuna hoja inatumiwa sana na machawa wa Mbowe kuwa Lissu hawezi kuingoza chadema kwa kuwa ni kapuku na mbangaizaji. Lakini tumeona viongozi kama Nyerere wakiongoza chama kwa mafanikio bila kuwa matajiri. Lissu atashindwa nini? Maalim Seif hakuwa millionea kama Mbowe lakini aliipa nguvu cuf na...
  16. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Jumba la kifahari la tajiri bilionea wa kihindi Mukesh Ambani

    Lina ghorofa 7 tu,eti na ndio makazi gharama zaidi duniani
  17. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hayupo tajiri aliyetajirika kwa halali, hayupo

    Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka! Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani. NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine. Takbir!
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

    Watu wanapitia mengi ila inabaki kuwa siri sirini....mkiambiwa utajiri ni siri muwe mnaelewa. sawa vijana wapenda Shortcut??
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X. Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote...
  20. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kama una Degree na kama umeajiriwa, sahau kuwa Tajiri

    Katika jamii yetu, imezoeleka kwamba kupata shahada (degree) na ajira rasmi ni hatua kubwa ya mafanikio. Hata hivyo, ukweli wa maisha unaonesha kwamba mafanikio ya kifedha hayategemei moja kwa moja kiwango cha elimu wala ajira pekee. Ajira nyingi za ofisi zinakupa mshahara wa kutosha kukidhi...
Back
Top Bottom