Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
29,969
Reaction score
27,483
Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini

Lakini tafauti kubwa ni
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1

kichwa cha maskini: kodi zetu zile, alikuta mali kwenye familia, tuchome kila kitu tuanze upya wote,
yule hana pesa anaringa na mirathi, najuana nae yule hua anakujjaga apa kabisa na namba yake nnayo,
una namba yoyote ya jini kutoka chalinze
 
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua #1
kichwa cha maskini: kodi zetu zile, alikuta mali kwenye familia, tuchome kila kitu tuanze upya wote,
yule hana pesa anaringa na mirathi, najuana nae yule hua anakujjaga apa kabisa na namba yake nnayo

Wahenga walisema, umaskini ni laaana, itategemea unaitoa vp hio laaana! (Usirembe mwandiko kwenye pepa gumu)
Masikini wako tayari kukuharibia hata kwa habari ambazo hazina uthibitisho(hearsay)..

Matajiri hutafuta uthibitisho wa mambo kabla yakufanya
 
wakiona hapaendi soon wapo kwa mganga
 
Na tofauti pekee ya kimawazo kati ya chawa na binadamu mwenye akili timamu ni ipi?
 
Umasikini ni kulambalamba wanaume wenzako matako ili upate chochote kitu kama Lumumba buku saba wanavyofanya.
 
Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini

Lakini tafauti kubwa ni
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1

kichwa cha maskini: kodi zetu zile, alikuta mali kwenye familia, tuchome kila kitu tuanze upya wote,
yule hana pesa anaringa na mirathi, najuana nae yule hua anakujjaga apa kabisa na namba yake nnayo,
una namba yoyote ya jini kutoka chalinze
Mo Dewji ni tajiri namba moja hapa Tanzania, umewahi kuona Watanzania wanamchukia?
Mada yako naelewa inalenga nini, hao ambao wanachukiwa na masikini wa Tanzania sio tu matajiri; wana jina lao special unaogopa kulitaja. Wanaitwa MAFISADI, yani ukiwa fisadi lazima uchukiwe tu hata ukiwachamba vipi wanaokuchukia
Kama issue ilikuwa ni utajiri wao mbona watu hawakuchoma mali za Mo au Bakhressa? Maana hawa ndo matajiri wakubwa hapa Tanzania
 
Chawa hawezi kuishi bila binadamu
Chawa ili afe inabidi utumie nguvu ya vidole viwili yaan unakamata Chawa kisha unamshindilia vidole viwili mkunduni kwa pamoja hakikisha unazamisha mpaka mwisho baada ya hapo Chawa atakua amekufa
Moderator ebu mpeni likizo huyu kijana hawezi kuongea bila matusi
 
Umasikini ni kulambalamba wanaume wenzako matako ili upate chochote kitu kama Lumumba buku saba wanavyofanya.
na wewe ndo mfano halisi wa maskini jeuri
 
Mo Dewji ni tajiri namba moja hapa Tanzania, umewahi kuona Watanzania wanamchukia?
Mada yako naelewa inalenga nini, hao ambao wanachukiwa na masikini wa Tanzania sio tu matajiri; wana jina lao special unaogopa kulitaja. Wanaitwa MAFISADI, yani ukiwa fisadi lazima uchukiwe tu hata ukiwachamba vipi wanaokuchukia
Kama issue ilikuwa ni utajiri wao mbona watu hawakuchoma mali za Mo au Bakhressa? Maana hawa ndo matajiri wakubwa hapa Tanzania
ubaya zaidi umaskini hua unaingia mpaka kwenye dam, hivo watoto huendelea na generation hio hio! wewe ndo mfano mzuri wa umaskini uliorithishwa
 
Back
Top Bottom