tajiri

  1. JamiiForums Tanzania Putin ndiye tajiri kuwazidi wote duniani, ila ni msiri wa ajabu

    Mali yake imefuatwa kimya kimya na kukadiriwa kuwa $200b, hiyo ni sawa na ukijumlisha GDP ya mataifa kama saba hivi ya Afrika, lakini jamaa ni msiri kupita maelezo............ They say money equals power, and Vladimir Putin has plenty of power of right now. But how much money does he have...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu yetu alitaka kuwa tajiri kama Laizer kwa madini amefariki kazini

    Afariki kwa kupondwa jiwe kichwani akichimba madini. Mkazi wa Kijiji cha Masungura wilayani Meatu, Simiyu Michael Salum (30), amefariki dunia kwa kupondwa na jiwe kichwani wakati akichimba dhahabu ndani ya duara katika machimbo ya Mwakitolyo, wilayani Shinyanga. Ofisa Madini Mkoa wa Shinyanga...
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Dkt. Chiduo (Marehemu) Gairo yapata Dkt. Joel Mmassa mhadhiri UDOM kunyukana kura ya maoni CCM na tajiri wa Gairo mhe. Shabiby

    Na mwandishi wetu Jimbo la Gairo mkoani Morogoro ni kati ya majimbo nchini yatakayokuwa na upinzani mkali. Tajiri wa kampuni ya mabasi ya abiria Ahmed Shabiby awamu hii anakabiliwa na upinzani mkali jimboni kwake. Mtoto wa mwalimu mstaafu na mzee maarufu wa Gairo Mzee Johnson Mmassa...
  4. JamiiForums Tanzania Ijue Muleba, halmashauri tajiri ambayo iliwahi kumiliki Meli ikaliwa na mchwa

    Wana JF, Halmashauri ya Muleba ndiyo inaoongoza kuwa na utajiri mkubwa kuliko wilaya zote za Kagera kimapato. Wilaya hii ina majimbo mawili, Muleba Kaskazini na Muleba Kusini. Sehemu kubwa ya utajiri wake ni kutokana kilimo cha kahawa, ndizi, mihogo, Karanga, maharage na mtama, pia wilaya hiii...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Putin ndiye Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na Mali ya thamani ya Us dolar bil 200

    Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo. Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Putin ambaye biashara zake...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

    Kuna watu kama wanne hivi wa karibu ninaofahamiana nao, hao wanaume aisee wako vizuri kifedha, wana nyumba wana magari mazuri ya kutembelea na biashara wanazo zinazowaingizia pesa mingi. Sasa kinachonishangaza ni kuwa hao wote wana-struggle kupata wadada wa kuwa nao kwenye mahusiano, pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  9. JamiiForums Tanzania Premier league inasemekana imeshapitisha dau la £300 million na kufanya Newcastle kuwa klabu tajiri dunian

    Jarida la the sun .limeripot kwamba premier league imetoa nafas kwa bilionea wa Saudi Aribia kuingia ndani ya viunga vya St James’ Park. Ambapo kuingia kwa bilionea huyo itapeleka kufanya club hiyo ya Newcastle kuwa ni mingon mwa klabu tajiri dunia. Mfuko wa Uwekezaji wa Umma wa Saudi Arabia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa tajiri wa pili duniani 01

    "Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John tajiri mkubwa duniani kwa kuondokew na mke wake àliyefarik kwa ajali ya ndege(private plane) huku...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye deni la trillioni 100 ni tajiri kuliko mwenye bilioni 100 kwenye akaunti yake, kuna mtu anabisha?

    Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
  12. JamiiForums Tanzania Jamii masikini yenye ardhi tajiri (Msangano Momba)

    JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI (MSANGANO MOMBA) BY MSUKU PETER UTANGULIZI Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mkulima Tajiri

    *Utangulizi* Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa Kilimo Mkataba kwa mazao tuliyo na masoko nayo. Kwa kuanzia tutaanza na semina ya Kilimo Mkataba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msanii tajiri jiingize kwenye siasa pale uwezo wako unaposhuka kama ambavyo wanasoka maarufu huhamia ligi za Uarabuni au Asia kumalizia soka lao

    Wewe kama ni msanii mwenye mafanikio makubwa na uliepata utajiri au fedha nyingi kupitia fani yako, kamwe usijingize kwenye siasa wakati bado uko kwenye chati, bali fanya hivyo pale amapo umri unapokutupa mkono kutumikia fani yako, au pale kiwango chako kinapoanza kuporomoko kwa maana ya uwezo...
  15. JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally ataka maoni ya wananchi kuhusu kuingizwa kwenye ilani ya uchaguzi 2020/2025 ya Chama tajiri na kikongwe zaidi Afrika baada ya ANC

    DKT. BASHIRU AZITAKA KAMATI ZA SIASA ZA WILAYA NA MIKOA KUWASILISHA MAONI 28 Desemba, 2019 Katibu Mkuu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amezitaka Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa kuwasilisha maoni yao ya namna ya kuboresha maisha ya wananchi kabla ya tarehe 15 Januari, 2020...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho. Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini. Mbowe...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hizi za Tajiri Mo sasa ni rasmi Mdogo wangu Mchezaji Jonas Gerald Mkude unatakiwa Kubadilika upesi

    "Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. Nimekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia."- Mo Dewji. "Niwaambie wachezaji wote, Simba ni klabu kubwa kweli kweli, tena kubwa hasa, na hakuna shaka ni namba moja...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

    Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine. Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ukiajiriwa uwezekano wa kuwa tajiri ni mdogo sana au haiwezekani kabisa?

    Habari za asubuhi wanabodi, Kumekuwa na mitazamo/ dhana maeneo mengi sana duniani kwamba ili uwe tajiri ni lazima uwe nje ya mfumo huu wa kuajiriwa bali unatakiwa ujiajiri, na wanasema kwamba 'hautakuwa tajiri ' kabisa. Je, kuna mfano wa waajiriwa ni matajiri? Kama wapo tuwataje Karibuni kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…