Katika kundi linalojumuisha Tanzania, Algeria, Jordan na Austria nina uhakika pasipo na shaka Tanzania angepata nafasi moja kati ya tatu kumwezesha kufuzu.
Tanzania vs Algeria. Hawa tunawajua na tushacheza nao mara kadhaa. Kwa sasa Algeria wameshuka kiwango sio wa kipindi kile ambacho...