taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TUNAO WASOMI, HATUNA TAIFA — Tanzania inateketeza hazina ya kitaaluma kwa maamuzi ya kipumbavu ya kisera"

    Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali ya kihistoria, ni deliberate neglect. Ni uhalifu wa kitaifa dhidi ya akili za watu wake. Kwa mujibu...
  2. JamiiForums Tanzania Ijue siri inayolifanya Taifa la Marekani kuwa juu kimaarifa

    Ni jambo lisilopingika kuwa Marekani ni taifa lililoendelea zaidi kiteknolojia, kisayansi, kiuchumi, na hata kijamii. Mataifa mengi yanaiangalia Marekani kama mfano wa mafanikio na ubunifu wa hali ya juu. Lakini swali ni hili: Je, ni nini kinachoifanya Marekani kupiga hatua kubwa kiasi hiki...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  4. JamiiForums Tanzania Taifa Stars Tengenezeni timu yenu kumzunguka Abdul Suleiman 'sopu'

    Kwanini? Ndio namba yake asilia,, ni Top top clinical finisher akicheza as final strikers Sio winger,, kama nilivyo eleza hapo juu,,, Hiki ni kipaji kikubwa sana cha hapa bongo ambacho tunalichukulia poa Nimemaliza
  5. JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan; OCTOBER tutakuchagua. Umefanikisha kuyatibu majeraha ya mioyo yetu Sasa Kama Taifa tumepona

    Husika na mada tajwa hapo juu. October tutakuchagua kwenye sanduku la KURA kwasabu umetumalizia shida zetu, tunaishi kwa amani, si mtumishi, si mkulima, si mfanyabiashara, si mfugaji, si mjasiriamali, si mvuvi, si mtumishi wa Mungu, si mwanasiasa wote tumeponywa majeraha Wanasema zimwi...
  7. JamiiForums Tanzania Tbc taifa Wameanza kuchamgamka

    Leo baad ya habari ya saa mbili kamili kuisha na kisha kufata ki pindi cha hotuba wa baba wa taifa kisha ikafika saa tatu kamili kuanza kwa junguu kuu basi wakaweka kibagizo cha nukuu ya mwalimu wa Nyerere akikemee swala la viongozi wala rushwa Nanukuu kidogo tu "kiongozi mla rushwa na mpenda...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

    Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  10. JamiiForums Tanzania Taifa linakuhitaji

    Wanabodi nawaamkua Muda mrefu nimekuwa msomaji humu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uwezo wa Mungu Muumba nimeona nichukue wasaa kuandika huu uzi mfupi. Tanzania (Tanganyika) ilipofikia sasa ni njiapanda ngumu with narrow escape. Sababu za kusema hayo ni kwamba Viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  12. JamiiForums Tanzania Hiyo bilioni tuiombe kwenye uwekezaji timu ya taifa

    Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu. Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Taifa linaumwa lipo ICU, nani mkombozi wake?

    Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu. Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo kifo ni sehemu ya uumbaji katika kumkutanisha Mja na Muumbaji. Kama kifo ni wajibu kwanini...
  16. JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuandikia Jakaya Kikwete Waraka Mzito

    Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana na dira ya taifa

    Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,, Leo hii kijana anaonekana kama tishio...
  18. JamiiForums Tanzania Yoyote anayejaribu kuiyumbisha CCM ni msaliti wa Taifa

    Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana. Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania. Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

    Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,, Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha kikatiba na bunge vilevile, hii ndiyo kansa inayosumbua Nchi , mahakama na bunge kutwa kucha kuipigia...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu. Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…