taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

    Hakuna cha 4R Hakuna cha miradi Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi. Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Operesheni Okoa Taifa Tanzania (Tanganyika)

    Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao. Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan, sisi hatuna deni nawe, ila wewe ndie unayetudai, na mwaka huu wa uchaguzi tutakulipa deni lako kama Taifa

    Asante kwa 4RS zilizo unganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Asante kwa maendeleo ya uhakika ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa muda mfupi tu. Pongezi kwa kua champion wa nishati safi ya kupikia na rafiki wa mazingira Africa. Shukrani kwa kuipa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni UWENDAWAZIMU kutaka taifa la Tanzania liandaliwe kutawaliwa kwa sheria za dini fulani

    Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Taifa lazima Limshtukie huyu Mzee, ana Mipango yake ya 2030 !! Tuwakatae Wahuni Kwa nguvu zetu zote

    Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi...
  9. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kuamini JK anamsaada kwenye taifa hili ni kujidanganya

    Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa CCM umesaidia nini Taifa!? Polepole

    Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
  14. O

    JamiiForums Tanzania Failed State: Viashiria vya Taifa Linaloshindwa

    Je, unawahi kujiuliza nini hutokea pale taifa linaposhindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi wake? Katika lugha ya kisiasa, hali hiyo huitwa “failed state” yaani, nchi iliyoshindwa kufanya kazi kama taifa. Sio lazima vita vipige, bali kuna dalili kadhaa zinazotufundisha kwamba mambo si...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

    Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dira ya taifa moja wapo ni hii

    Kweli kufika 2050 kama tutakuwa nao hawa majoyce wowote tutarajie vituko.
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Matatizo matatu makubwa kwenye Dira ya Taifa 2050

    1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Dira ya taifa ya maendeleo 2050 ni kiini macho, kama kweli serikali ya CCM ipo serious tunataka tuone vitendo kuanzia sasa

    Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania. "Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
Back
Top Bottom