The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
MSIMAMO WA YANGA (TAIFA KUBWA)
👉Zipi sababu za kuahirisha mchezo wa kwanza wa dabi ya Simba na Yanga tarehe 8 Machi 2025.
👉Kwa nini bodi ya ligi wamepanga mchezo mwingine bila suluhisho la sababu ya kuhairishwa mechi ya tarehe 8 ya Simba na Yanga?
👉kwa nini bodi ya ligi haikuchukua hatua za...
Ni lazima na ni muhimu sana wasome upepo ulivyo kwasasa.. Na kundi la kuchunga sana ni hili kundi la vijana... Lina ndoto nyingi.. Lakini pia changamoto za maisha ni nyingi na halioni mwanga mbele.
Tofauti na makundi mengine hili ni kundi ambalo halina cha kupoteza maana bado halijafikia mahali...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala inayozunguka kauli ya “No Reform, No Election” ambayo sasa imekuwa gumzo mitandaoni na imeanza kujitokeza pia kwenye majukwaa ya wazi, hasa Jana Usiku kwenyr Tamasha la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Kama Mtanzania ninayeamini katika utulivu...
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??.
Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??.
Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki.
Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka!
Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan wamelitumia pia lakini kwao wamelitumia taifauti na sis. Hebu angalia halafu utoe maoni yako.
Algeria -...
BIBI TITI MOHAMMED SALUM MANDANGWA
Shujaa Aliyeibeba TANU, Akasalitiwa na Taifa
Na MALEKOGJ
“Wanawake amkeni! Tokeni majumbani tupambane pamoja na wanaume mpaka uhuru upatikane... Msiogope!”
— Bibi Titi Mohammed, Mnazi Mmoja, 1957
Wengi wanamkumbuka Mwalimu Julius Nyerere kama baba wa Taifa...
Wakuu
Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan.
Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
Salaam!
Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika,
Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea,
Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri...
Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la...
Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani.
Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na pale kanisani kwake Ubungo
Gwajima Mmoja ana mbinu zaidi ya askari buku. Gwajima hakika ni Master of...
Kijana saa 12 asubuhi tayari macho mekundu kisungura kimeshamchapa. Mpaka saa 6 mchana anaongea pumba tupu.
IGP intelejensia yako miaka 15 mbele Taifa linaonekana liko wapi?
Viongozi mnaacha watoto wa maskini wapagawe kwa visungura ili watoto wenu wakirudi toka ULAYA wagawane majimbo kirahisi?
Amani iwe kwenu,
Nitakuwa na upload free style na Cyphers zote humu ambazo zitakuwa zinatetea maslahi ya nchi (Taifa) ....na kama una free style ama Cyphers ambayo inaweza kuendana na hali ya sasa ya nchi tafadhali I upload humu zote zitasikilizwa kwa ajaili ya matumizi ambayo yatakuwa na...
Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano.
Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji.
Wahusika waharibiwe.
Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.
Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi...
Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima.
Kisingizio?
Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani kama matukio haya yanaendelea na wanaofanya hivyo wana zana kabisa.
Aidha ameeleza kuwa matukio...
Katika enzi hii ya kidigitali, tunashuhudia namna baadhi ya mataifa yanavyoweza kuendeshwa kwa mbinu nyepesi lakini hatarishi kwa mustakabali wake. Kinachohitajika ni kuhakikisha raia wana bando—ndiyo, intaneti—hata kama ni ya gharama kubwa. Wananchi wakishakuwa hewani, basi hupewa ‘connection’...
Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.