taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuisafisha CCM ili iliongoze taifa kwa ufanisi maana bado wapowapo sana

    Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo: 1. Kubadilibadili hoja 2. Kuvurugana kama...
  2. JamiiForums Tanzania Makongamano, warsha, semina nk vimeongezeka kwa kasi awamu ya Rais Samia, vinaligharimu Taifa

    Televisheni ya Taifa imekata matangazo ya Bunge la Bajeti na sasa wanarusha kongamano la viongozi wa dini kumuombea na kumpongeza Rais Samia kwa uongozi bora linalofanyika ukumbi wa mikutano wa Tughimbe mkoani Mbeya. Wapo viongozi wa dini, Serikali na waimbaji kutoka kona mbalimbali za nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Kwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja. Je? Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa. Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi UVCCM Taifa, Victoria Mwanziva kushiriki YALI Mandela Washington Fellowship 2022, Marekani

    📍 DODOMA Bungeni 26/05/2022 Mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson akitambulisha wageni wake ambao ni Vijana wa Kitanzania wanaotarajiwa kwenda nchini Marekani mwezi ujao (June 2022) kwa mafunzo maalumu ya YALI Mandela Washington Fellowship 2022. Vijana hawa watawakilisha Tanzania katika programu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

    Habari Wana jukwaa, JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa, Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa, Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na...
  6. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya UBAKAJI Nchini, tatizo ni nini? Tujadiliane tuokoe taifa letu

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe. Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  8. JamiiForums Tanzania Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake. 1. BENNO KAKOLANYA- simba sc 2. DAVID KAMETA DUCHU- geita gold 3. BENJAMIN ASUKILE- tanzania prisons 4. LUSAJO MWAIKENDA- azam fc 5. DAVID MWANTIKA- dtb fc 6. AZIZ ANDAMBILE - mbeya city fc 7. JIMMSON MWANUKE-...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Story za Masau Bwire kuhusu uchawi wa taifa stars

    By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila kujishughulisha no ni vigumu kumshinda mpinzani. Imefikia hatua katika klabu za soka uwezo wa wachezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Wapinzani Kualikwa TBC. Zitto Kabwe Aalikwa Live Program TBC. Hongera TBC, Hongera Dr. Ayub Rioba, Huu ni Uthibitisho Sasa TBC ni TV ya Taifa ya Wote!

    Wanabodi, Kwa watu wasiojua mambo ya utangazaji na haswa live programs mnaweza msielewe msingi wa pongezi zangu, kwa vile mimi ni Mtangazaji na nilifanyia kazi, TBC, I know what it takes kumualika mpinzani Vocal kama Zitto Kabwe kwenye a live program ya TV, hivyo hizi hongera zangu kwa TBC na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa ni bora wajitafakari uwepo wao katika hizo Wizara kwa maslahi mapana ya Taifa

    Ukitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana . Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio kazi 'Critical' wanayoweza kufanya UVCCM kwa sasa kulisaidia taifa sasa na baadae

    Kwa sasa, kazi ya msingi inayofanywa na UVCCM ni kupongeza kazi nzuri zinazofanywa na serikali chini ya Mhe. Rais Mama samia. Jambo wanalofanya ni zuri kwa kuwa ni kweli kuna kazi nzuri na kubwa zinazofanyika. Aidha, ni muhimu kwa kuwa mtu anapofanya jambo jema na akapongezwa, hiyo ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kweli hili taifa la Marekani (USA) litakuja kupitia kiuchumi?

    Machina anafuata Kwa mbali in terms of per Capita ila Kwenye GDP anamkaribia. Ukweli mchungu USA ataendelea kutuburuza miaka mingi ijayo labda utokee muujiza wa Mungu.
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza Kisukuma iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania

    Mhola sana waungwana! Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora. Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani. Baadhi ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa uwe huu

    Kwasasa Tanzania, zimbabwe na South African tuna nyimbo inafanana🤔
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili . Athari zake ni kubwa kwa Taifa zima. Leo mimi ngefungwa tu kwa kweli

    Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina...
  18. JamiiForums Tanzania Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

    Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!? Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!? Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Yapi ni Maono ya Taifa la Tanzania huko tuendako?

    Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa. Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda mfupi,kati na mrefu ya Taifa Letu,tatizo ni maono,dira na mipango gani hiyo tuliyoweka? Hayo maono...
  20. JamiiForums Tanzania Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…