Hivi kweli hili taifa la Marekani (USA) litakuja kupitia kiuchumi?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,392
chrome_screenshot_1652464262593-png.2223364

Machina anafuata Kwa mbali in terms of per Capita ila Kwenye GDP anamkaribia. Ukweli mchungu USA ataendelea kutuburuza miaka mingi ijayo labda utokee muujiza wa Mungu.

chrome_screenshot_1652464262593.png
 
Marekani anaimiliki China yenyewe. Kapeleka makampuni yake kule halafu kawaleta huku wanunue bond zake.

Ukiona China ujue huyo ni mmarekani. Kwahiyo jumla ya uchumi wa marekani ni kujumlisha na huo wa China.
Ukiona US anakuachia sehemu ulingane nae basi ujue hauna madhara kwake.

Amemuacha tu china ale bata kwa pesa zake, uwekezaji wa US pale china ni mzito. Hapo hujazungumzia Ulaya.

Ndani ya GDP china anahitaji zaidi US kuliko mwingine yoyote yule.

Kumuangusha US itokee tu Mungu aamue ila kibinadamu haiwezekani.
 
Ukiona US anakuachia sehemu ulingane nae basi ujue hauna madhara kwake. Amemuacha tu china ale bata kwa pesa zake, uwekezaji wa US pale china ni mzito. Hapo hujazungumzia Ulaya. Ndani ya GDP china anahitaji zaidi US kuliko mwingine yoyote yule. Kumuangusha US itokee tu Mungu aamue ila kibinadamu haiwezekani.
CIA wanaangalia mbali sana sana. Mataifa yote yanayojipambanua kwamba hawaipendi marekani wananunua bidhaa zake kutokea china.
 
Ukiona US anakuachia sehemu ulingane nae basi ujue hauna madhara kwake. Amemuacha tu china ale bata kwa pesa zake, uwekezaji wa US pale china ni mzito. Hapo hujazungumzia Ulaya. Ndani ya GDP china anahitaji zaidi US kuliko mwingine yoyote yule. Kumuangusha US itokee tu Mungu aamue ila kibinadamu haiwezekani.
Unasema China hana madhara kwa U.S.A? Una uhakika na unacho zungumza mzee
 
Marekani anaimiliki China yenyewe. Kapeleka makampuni yake kule halafu kawaleta huku wanunue bond zake.

Ukiona China ujue huyo ni mmarekani. Kwahiyo jumla ya uchumi wa marekani ni kujumlisha na huo wa China.
Unafahamu ni wachina wangapi wamewekeza Marekani?

Je ni sahihi kusema uchumi wa China ni jumla uchumi unaopatikana china mainland na marekani ?
 
chrome_screenshot_1652464262593-png.2223364

Machina anafuata Kwa mbali in terms of per Capita ila Kwenye GDP anamkaribia. Ukweli mchungu USA ataendelea kutuburuza miaka mingi ijayo labda utokee muujiza wa Mungu.

View attachment 2223364
Nikukubushe kidogo tu.
Ilikuwa Misiri na civilization ya kutosha, badae akaja muashuru akafata Mbabeloni Tena akaja umedi na uajemi, then Mambo yakarudi ulaya ambabo Ugiriki ilitamba chini ya Alexander the great na badae Roma chini ya mpompei, Mambo yalirudi mashariki ya Kati katika enzi za Ottoman empire. Mkuu ulaya iliendelea Tena hapo mara Uk, mara Ujerumanu chini ya Hitler na mambo yakarudi USA miaka ya 1900s. History never stop, the power will continue to shift from one country to another and from one continent to another. Don't worry mabadiliko huwa pole pole lakini huwa linajitokeza Jambo moja tu ndani ya one year na kila kitu kinabadilikika kabisa.
 
Asante kwa kutema facts vijana wanadhani kuwa U.S.A ndio taifa la kwanza kuwa taifa lenye nguvu duniani kumbe yamepita mengi tu na yatakuja mengi tu .uyo U.S.A mwenyewe kapigwa gap na mchina kwenye Mambo kadhaa yamebaki Mambo machache mchina amovertake mmarekani especially kwenye uchumi na ushawishi
 
Ukiona US anakuachia sehemu ulingane nae basi ujue hauna madhara kwake. Amemuacha tu china ale bata kwa pesa zake, uwekezaji wa US pale china ni mzito. Hapo hujazungumzia Ulaya. Ndani ya GDP china anahitaji zaidi US kuliko mwingine yoyote yule. Kumuangusha US itokee tu Mungu aamue ila kibinadamu haiwezekani.
Angekuwa amemwachia kama unavyo taka kutudanganya hapa,iweje kila Utawala ukiingia wanaikomalia China na vikwazo vya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom