taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni vizuri Majina ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti iliyolifikisha taifa letu kwenye Maumivu ya tozo yafahimike na UMMA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini. Bahati mbaya sana Kamati hii imejificha na lawama zote zinaelekezwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan badala ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa huduma za afya unavyoweza kuchochea maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika vituo vya afya na hospitali,ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya, malipo bora kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

    Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa. Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi. Kelele zilikuwa nyingi baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati wa taifa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaendana na hali halisi ya maisha ya watanzania

    Utangulizi Uchumi, kwa maana fupi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Tanzania inakadiriwa kuwa uchumi wake kwa mwaka 2022 utaongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 % kutoka 4.9% ya mwaka 2021, kulingana na makadirio kutoka benki kuu ya dunia. " worldbank.org" (Tovuti ya benki kuu ya dunia WB)...
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya iliyo imara kwa Taifa la leo ndio msingi imara kwa taifa la kesho

    UTANGULIZI: AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo Madhubuti,Utu,Kujituma,Ushirikiano na kadhalika. Hizo ni baadhi tu za Sifa zilizopo kwenye Tabaka la...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye timu ya taifa bado tunasafari ndefu

    Kama kiongozi wa ngapi ya juuu tena katika tumu zetu mbili pendwa ana post huu ujinga basi tuna safari ndefu katika timu yetu ya taifa,
  9. JamiiForums Tanzania Jambo lipi ni muhimu kufanya ili kumuinua kielimu kijana ambaye ni taifa la kesho?

    Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu. Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia? Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyejifanya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ashughulikiwa

    Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY. BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
  11. JamiiForums Tanzania Wanatozo: Adui hufurahi akiona unateseka

    Fikiria mfanyakazi anakatwa kodi PAYE kisha hela yake inaingia bank. Kule benki tena akitaka kutoa anakutana na kodi nyingine ya kikatili. Double Taxation. Mfanyabiashara analipa kodi withholding tax na corporate tax. Bado haitoshi akitaka kufanya malipo benk anakatwa tozo. Bado hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona. Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji. Tablet zinazo...
  13. JamiiForums Tanzania "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

    Wanabodi, Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa! leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

    Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki? Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi? Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Taifa hili litajengwa na nani?

    Hadi lini tutaendelea kubaki chini? mpaka lini tutaendelea kushuhudia mataifa mengine yakipiga hatua ya kimaendeleleo, ikiwemo, uchumi, viwanda, sayansi na teknolojia, diplomasia, afya, elimu pamoja na usalama wa watu wake? na ilihali sisi tukiendelea kubaki pale pale! Mataifa kama China, India...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe: Taifa hujengwa kwa watu kufanya kazi kwa bidii, nguvu na akili nyingi na sio mizahamizaha na kuendekeza ujinga

    "Asiye fanya kazi na asile" hii aya ipo kwenye kitabu cha Biblia na ni maneno ya Mwenyezi Mungu kupitia nabii wake Yesu kama sijakosea. Waislamu kuna mahala wanaambiwa wakishafanya ibada watawanyike wakatafute ridhki. Hata dini zinaamini kwenye kufanya kazi. Watanzania na Waafrica tunaumiza...
  17. JamiiForums Tanzania 19 Agosti 2022 SHARED Jeshi la Urusi lajiandaa kukata mtambo wa nyuklia kutoka kwa gridi ya taifa - Ukraine inasema

    Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni. Enerhoatom...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa saidieni kumpa Rais Samia taarifa sahihi

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninaomba usalama wa Taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mpeni Rais taarifa sahihi ili afanye maamuzi sahihi. Kama nyinyi mnampa taarifa sahihi ila yeye hachukui hatua? hilo ni swala jingine. Kwenye hili swala la sensa na makazi ya mwaka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wale mliomponda Habib Kiyombo kuwa hajui na Simba SC imechemka Kumsajili mmeona leo anayejua Mpira Kocha Paulsen amemuita Taifa Stars?

    Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa. Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC wako vyema kwa sasa imekuwaje wamezidiwa idadi na Simba SC kwa Wachezaji walioitwa leo Taifa Stars?

    Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC. Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…