taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Wa Taifa amewahi kusema kuwa Hatuna mjomba wa kuja kutujengea nchi yetu

    Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito. Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni lini CCM itafanya uchaguzi wa Mwenyekiti wao Taifa?

    Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo. Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya shina mpaka Mkoa waombe kugombea na kushindanishwa na wengine lakini inapofika ngazi ya taifa hakuna...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

    Sijui kinachosemwa ni kweli au la? Kwanza tangu zoezi lianze liligubikwa na malalamiko mengi sana Mfano Makalani waliokuwa wakifunzwa walilalamikia kupikiwa chakula kibichi uku wakikatwa shilingi elf 5000 Kila siku kwa ajili ya kununua chakula aliyekuwa anapika wanafunzi walipo lalamika...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kama kutosinzia kutasaidia kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika taifa; Watanzania tukeshe sasa

    Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania. Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni upi ni mwarobaini wetu kama Taifa?

    Deleted
  6. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Tunacheleweshana bure na maendeleo ya Taifa yanachelewa

    Ndg wanajukwaa kumekuwa na tabia ya ubaguzi ktk utoaji mikopo ya manispb kwa vijana.Mfano hai ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Miaka mi3 nyuma niliunda kikundi tukaakisajili, tukafungua akaunti tukandaa mchanganuo. Kabla hawajatutembelea ikaibuka hoja dhaifu eti miongoni mwa barua ipitie...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Samia atimiza ndoto za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere

    Ndugu zangu zilikuwa ni ndoto za baba wa Taifa kuijenga Tanzania yenye usawa na haki kwa watu wote, Tanzania ambayo kila mtu alikuwa ana nafas sawa katika kuijenga na kunufaika na matunda yake, Tanzania iliyokuwa inaheshimika na mataifa yote bila kujali uchumi wetu. Katika kuifikia azima hiyo...
  9. Priscusjt muro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi wa Ivory Coast washtakiwa kwa kuharibu Usalama wa Taifa

    Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa rumande. Ivory Coast imekanusha shtaka la shughuli za mamluki na imekuwa ikitoa wito wa kuachiliwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

    Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza...
  12. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna wimbo wa taifa tunavyouchukulia ni kukosa uzalendo au ni aibu ya kutokujua?

    Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani, Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na sehem maarufu zaidi ikiwa ni uwanjani inapocheza time yetu yeyote ya Taifa. Ukweli ukiangalia...
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhakika wa vitendo: Filosofia itakayotufanikisha mtu mmojammoja ama kutufelisha wote kama Taifa

    ‘KURUTI!, UHAKIKA WA VITENDO!’ kwa sauti kali ya kuamrisha mara ya kwanza naisikia ilikuwa ni jeshini. Ilipenya na kueleweka haraka kwa sababu mbili; Mosi, kile nilichokijua tangu mwanzo kuhusu uhakika, nilipenda kulitumia kiingereza ‘sure’. Lakini sababu ya pili ipo wazi ni kuogopa adhabu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ualimu si wito, ni taaluma yenye sifa na tija kwa taifa la Tanzania, tukiwathamini Walimu tumeithaminisha Tanzania

    UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA. HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU Kama Taifa tulipofikia hapa sasa tume muacha Mwalimu na maswali mengi hata pengine ambayo hakusitahili kujiulza, na mengine...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Familia Bora, Taifa Bora

    Familia Bora hujenga Taifa bora FAMILIA BORA, TAIFA BORA Ningependa tuelimishane namna familia zinavyoweza kujenga taifa bora au kuaribu taifa. Kwanza kabisa ningependa kueleza maana ya familia na aina zake. Familia ni muunganiko wa baba, mama na watoto au kikundi cha watu wanaoishi pamoja...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman Kibode (Meya), amefariki Dunia

    Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili. Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Israel Taifa linalo ogopeka duniani kwa ujasusi na mauwaji ya watu walioshindikana

    Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi ambacho kimeleta madhara makubwa na kuifanya serikali ya Benet kuanguka sasa wanavuna utam wakile...
  20. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Sensa yapoza machungu ya Yanga Taifa

    Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
Back
Top Bottom