Cheka kwa tahadhari

Brilucy

Member
May 23, 2020
7
5
Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia.

Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia?
Simba akamjibu weee! nani hajipendi?

Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele.

#MAN_VIBES
 
KICHAA MMOJA WA KIUME ALIKATIZA PORINI AKIWA UCHI KAMA ALIVYOZALIWA..WANYAMA WOTE WAKATOKA SPIDI KUMKIMBIA.FISI AKAMUULIZA SIMBA, IMEKUWAJE HADI WEWE MFALME WETU UMEKIMBIA?
SIMBA AKAMJIBU WEEE! NANI HAJIPENDI? TOKEA NZALIWE SIJAWAHI ONA MNYAMA MWENYE MKIA KWA MBELE...
#MAN_VIBES
😂😂😂😂😂😂😂
 
Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia.

Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia?
Simba akamjibu weee! nani hajipendi?

Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele.

#MAN_VIBES
😂😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom