tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tarehe 30/9 ni siku ya tafsiri duniani. Chukua zawadi yako

    Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri. Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto ya kurudi nyumba uliyokuwa unaishi zamani au kurudi kijijini kwenu

    Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani. Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena. Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba; Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko...
  3. JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii

    Hamjambo, Usiku wa kuamkia leo nimeota nipo kwenye mji mwingine, ni kama "lost city" ambapo hakuna mtu lakini majengo yake ni makasri, kama yale kwenye filamu za katuni, mfano jengo la Disneyland. Nimeota hayo majengo ni chakavu, na nje kuna sanamu za farasi aliyepandwa na mtu akiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri. Lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa tafsiri za ndoto tuonane hapa

    Habari ndugu zangu Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili? Asante.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  9. JamiiForums Tanzania Anaeijua tafsiri ya wimbo wa affaire d'etat wa Koffi Olomide anisaidie hapa

    Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa, Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika bila kujua wanamaanisha nini https://youtu.be/xtE9cdjeoh0?si=RG2Qy-xTNaNwK9JL Hebu mwenye tafsiri...
  10. JamiiForums Tanzania msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

    nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room. mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
  11. JamiiForums Tanzania Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya movie ya Sisu na somo la kujifunza - by Wapekee

    SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika. Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea. Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA inafeli sehemu moja tu,Dola ni tafsiri pana isiyo mipaka.

    Dola ni chombo cha usalama wa nchi ambapo ndani yake kuna lengo la kupanga na kuratibu mambo yote ya usalama, kuhakikisha ufanisi wa sera sera na utekelezaji wake katika maendeleo pamoja kuchambua na kutafsiri sheria,sera na kutuza utamaduni. Sometimes Dola huangaliwa kama ni chombo cha Usalama...
  14. JamiiForums Tanzania Umewahi kuota unavua samaki kwa ndoano? Hii ndio tafsiri yake

    Ingawa mimi sio mtu ninayeamini sana katika ndoto ila kama wewe unaamini basi watalaam wako wa mambo hayo ya kutafsiri ndoto wamesema Uvuvi na ndoano katika ndoto ni ishara kwamba mtu anayeota ndoto atapata riziki nyingi za halali na nzuri. Mwanamke aliyepewa talaka akiona akiwa amelala anavua...
  15. JamiiForums Tanzania Wimbo: Cavalier solitaire mwimbaji: JB Mpiana ft Papa Wemba tafsiri: Sule Mkandarasi

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : Cavalier Solitaire ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : J.B MPIANA ft PAPA WEMBA ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„: ๐™Ž๐™๐™‡๐™€ ๐™ˆ๐™†๐˜ผ๐™‰๐˜ฟ๐˜ผ๐™๐˜ผ๐™Ž ๐™’๐™–๐™จ๐™ฌ๐™–๐™๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™จ๐™š๐™ข๐™– "๐™๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ฃ๐™ž ๐™จ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™– ๐™™๐™ค๐™œ๐™ค ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ค๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™ฃ๐™–" ๐™ƒ๐™ž๐™ž ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ข๐™–๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™—๐™– ๐™ž๐™ ๐™ž๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™™๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™—๐™–๐™จ๐™ž ๐™๐™–๐™ฌ๐™–๐™ฉ๐™ค๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™ค๐™ ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ช ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ž๐™จ๐™๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana au tafsiri halisi ya wadudu

    Hapo vip!! Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe. Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap. Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

    Jionee mwenyewe.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ