tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama nakosea nikosoeni tafadhali

    Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya. Hili la uchaguzi wa CHADEMA ni miongoni mwa hizo namna za kuamsha ari ya kisiasa kwa Wananchi maana ake si kwa mkesha huu...
  2. JamiiForums Tanzania Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

    Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu tafadhali,

    Habari za mda huu,. Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu... Nimeweza kurudisha contacts...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam, Maoni yenu tafadhali!

  5. JamiiForums Tanzania Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

    "Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi. GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria tafadhali msaada

    Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿 Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya 2025 members wote
  7. JamiiForums Tanzania Wakati unafunga mwaka, elewa, kabla ua ya kumtelekeza au ulimtelekeza mtoto soma hii ujue na kuelewa tafadhali

    Bill Clinton au William Blythe aliyekuwa rais wa Marekani, Jeff Bizos tajiri mkubwa duniani, Steven Jobs mwanzilishi wa Microsoft, na wengine wengi SOMA HAPA walitelekezwa na baba zao wakatokea kuwa maarufu na wenye mafanikio. Je katika mazingira haya, hawa wababa watelekezaji wana haki yoyote...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba majibu tafadhali

    Kwa mujibu wa quruan ni kwamba mwanaume wa akislamu akifa mwema anapewa wanawake bicra 72 hukoo peponi sada jee mwanamke akiwa mwema yeye atapewa wanaume 72? .
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye uzi alioandika Jf ,mwanachama mwenzetu, raraa-reree,auweke hapa tafadhali!

    Ninawasilisha! Merry Xmas and Happy New Year 2025
  10. JamiiForums Tanzania Naomba majibu tafadhali watu waminio dini hizi 2 yan ukristo na uislamu

    Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Noti hii ya dola ya Marekani bado inatumika?

    Jamani hii bado inatumika msaada.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Subaru Impreza new model kuanzia 2012 huuzwa mapema baada ya kununuliwa ! Zinachangamoto Gani ? Mwenye ujuzi atujuze tafadhali

    Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Mbeya Vijijini kata ya Iwiji umeme unakatika mara kwa mara, mafundi wakija kutengeneza wanadai malipo kutoka kwa wananchi

    Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara. Muda mwingine hata ndani ya dakika 5 unaweza kata na kurudi mara mbili, bila kuambiwa chanzo ni nini. Pia inapotokea kuna shida...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Mangi wa Wamachame ,Gilbert Gilead Shangali, tunaiomba tafadhali!

    Ninaomba kuwasilisha!
  15. R

    JamiiForums Tanzania ABOOD BUS SERVICE LIMITED : ONLINE BOOKINGS HAZIPO TAFADHALI REKEBISHA

    Kila uki -search travel date yoyote unapata response hii Hakuna ratiba ya safari iliyopangwa tarehe uliyochagua kutoka , Jaribu tarehe nyingine.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania wote: Ukisikia mtu anapiga kelele anatekwa tafadhali na chonde chonde toa msaada!

    Natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wenye upendo na kuthamini uhai na haki za binadamu wenzao. Imetokea mara kadhaa kwamba watu wanatekwa, wanapiga kelele kuomba msaada lakini watu wanaangalia tu bila kutoa msaada. Tafadhali sana, unaposikia mtu anapiga kelele kuomba msaada anatekwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali. Vituo vya tuition centres vinapatikana wapi kwa Dar es salaam?

    Wakuu salamu zenu. Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini. Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
  18. JamiiForums Tanzania Tafadhali Wanawake naomba mnisikilize

    Aslaam, Wanawake emu eleweni kuwa mwanaume Huwa kwenye mahusiano na nyinyi Kwa sababu ya mambo mawili. Jambo lakwanza ni Kwa ajili ya ngono(sex) lakini la pili ni Kwa ajili ya upendo. Lakini linapokuja suala la ndoa huaga haangalii hayo mambo mawili niyoyasema hapo juu. Nabadala yake huangalia...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume naomba mnijibu tafadhali

    Hii inawahusu wanaume sio wavulana. Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako? Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana. Kumbuka anahonga Malaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…