BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.
Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa kuliko walivyotegemea.
Watu walikuwa wengi kiasi cha kusababisha changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na...
CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi mtihani hata kama wamebakiza elfu mbili tu.
Tunajua kwamba ada ndo inalipia gharama mbalimbali...
kiwa ni siku nne zimepita mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha kuagiza kuondolewa kwa Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoa wa Tabora, Mayala Mburi kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Mkuu wa Mkoa na watumishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ambao walikwenda...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye...
Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
Nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ndugu Chacha ni mfano wa kuigwa. Anafanya kazi kwa manufaa ya wananchi wote wa Tabora. anaenda kila Wilaya kusikiliza kero za wananchi na kutolea majibu au suluhisho.
Mfano hai ni ufuatiliaji wa magunia ya kuwekea tumbaku...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi.
Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika!
Je, Viwanja hivi havina standby...
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari 2025.
Akizungumza wakati wa majumuisho mara baada ya ziara ya kukagua ujenzi wa maktaba hiyo...
Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa mkandarasi yeyote atakayekiuka makubaliano ya mkataba na kukwamisha miradi hiyo.
Kauli hiyo imetolewa...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika.
Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la la Mbunge wa Urambo, Mhe. Margaret Sitta...
Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara.
Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961)
Niko Tabora toka jana usiku.
Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977.
Nimealikwa kuzungumza mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mhadhara unafanyika...
Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana.
Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
Simba wapo ugenini kikanuni ila kiuhalisia ni kama walikuwa home tu. Uwanja umejaa watu wa simba utadhani ni dsm
Jifunzeni uzalendo nyie wakulima. Mnaipenda simba badala.ya team yenu.ya home. Halafu mnatoa siri.za ushindi au kukwepa kipigo kwa manyau wenu kuwa wasipite hapa na pale. Huo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.