Tabora United Ikiifunga Simba SC Nifungiwe JF mwaka mzima

Tabora United Ikiifunga Simba SC Nifungiwe JF mwaka mzima

Disney2

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2025
Posts
435
Reaction score
649
Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.

1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana

2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.

Mods shikiria hapo hapo.
 
FB_IMG_17383079675742000.jpg
 
I'd yenyewe unayotumia hata haijaanza kutambaa hata meno haijaota
 
Hilo mbona liko wazi! Leo watajilegeza mwanzo mwisho ili wafungwe na hao ndugu zao. Baada ya kuwakamia Azam na Yanga, kwa sasa hawana cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom