tabora

  1. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi kuanza ziara mkoani Tabora

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tabora: Watu tisa washikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuozesha binti wa miaka 13

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24), mkazi wa Geita. Ndoa hiyo ilikuwa ikifungishwa katika Msikiti wa Kazaroho, Manispaa ya Tabora...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tabora United haifungiki na timu yoyote ya NBC PL. Kwa mwendo huu itachukuwa kombe

    Wamemfunga Yanga, wamemfunga KMC na leo wamemfunga Azam. Bado Simba naye bila shaka atafungwa. Nani wa kuizuia Tabora United kuchukua kombe msimu huu?
  5. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  6. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA Tabora iangalieni Barabara ya Madaraka, ni mbovu na inazidi kuharibika

    Hivi huu Mkoa wa Tabora viongozi wa Wakala ya Barabara za Mjini na Vijijini TARURA wapo kweli? Maana Barabara ya Madaraka iliyopo Mtaa wa Madaraka Manispaa ya Tabora imeharibika na inazidi kuharibika kila siku, kuna mashimo lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa. Nimeshuhudia zaidi ya mara...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tabora: Askofu KKKT, Isaac Laizer: Ataka maombi yakitaifa kukemea utekaji, mauaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo. Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
  9. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  10. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Mazoezi makali ya wanajeshi Tabora kuna nini?

    Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti. MIsururu ya magari yao inakatiza, hii...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Ulevi, Matusi na Kujitenga ndio sababu Wananchi kumpigia Kura ya 'Hapana' Mgombea Uenyekiti

    Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji chao NYOROBI NANGI ni kutokuwa na ushirikiano na wananchi pamoja na tabia za ulevi na matusi...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwili wa asiyejulikana wakutwa chini ya mti Tabora

    Mwili wa mtu ambaye hajatambulika umekutwa pembezoni mwa barabara chini ya mti wa muembe katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Tukio hilo limeripotiwa baada ya wakazi wa eneo hilo kuona nzi wakiruka katika eneo husika. Mkazi wa eneo hilo, Dorothy Fungamizi...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tabora: Askari TFS matatani kusababisha kifo cha mwanafunzi wa awali

    Askari watatu wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na mgambo wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Grace Mussa (4) katika Kijiji cha Mpanda Mlowoka wilayani Kaliua, mkoani Tabora. Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 2, 2024 Kamanda wa...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Viongozi wa Serikali za Mitaa waomba Serikali Kuu kuwaongezea posho muda mchache baada ya kuapishwa!

    Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Je, kesho Tabora itamfukuzisha kazi kocha wa KMC?

    Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao. Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Mchijita ashiriki zoezi la kupiga Kura Likotwa

    Makamu mwenyekiti wa Act Wazalendo Tanzania Bara Isihaka Mchinjia leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Likotwa, Manispaa ya lindi, Novemba 27, 2024. Akizungumza baada ya kupiga...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Huyu Andy Bikoko aliyewafukuzisha Gamond na Uchebe ni nani huko Tabora United !

    Wanasema huyo Andy Bikoko ndiyo sababu kuu ya kuwafukuzisha wazungu wawili yanga na singida black stars klabu mbili ndugu wa damu. Eti ni jamaa moja katili sana liliwatia mfukoni Pacome, Azizi Ki, Chama, Maxi na Mzize jana tena Elvis Rupia, Ayubu Lyanga na wenzake wamekutana na jitu baya Andy...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: ACT- WAZALENDO yamnadi Mgombea wa CHADEMA baada ya mgombea wao kuenguliwa

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick Kabepele ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora. Kijiji hiki Mgombea wa ACT Wazalendo...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa linauzwa tabora mjini

    Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa Bei haipungui Duka Lina kabati 2 nyuma Kila moja futi 8 kimo 4 upana Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3 Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
Back
Top Bottom