Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo
Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Ukweli useme
Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja
Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi?
Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu.
Uwanja pitch mbovu kama...
Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii?
Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu.
Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogoTabora imeshindwa kusikiliza kesi ya madai mchanganyiko ya kuomba kurudishwa kwa mchakato wa mabadiliko ya upatikanaji wa Katiba mpya inayoikabili Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi zamani ikifahamika kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Mwanasheri Mkuu wa...
Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko katika hatua za awali ukiwa umefika asilimia 7.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani kigoma...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.
Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo.
Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekuwa wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO), wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikuwa na...
Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nilizungumza Ukumbi wa Chuo Cha Uhazili Tabora.
Athmani Kondo ameniletea picha hizo hapo chini zikionyesha mambo kama...
Wakuu wa wilaya za mkoa wa Tabora wameiomba serikali kuwajengea nyumba za kuishi pamoja na ofisi zao, wakieleza kuwa kwa sasa wanatumia majengo chakavu na ya zamani. Baadhi ya majengo hayo hujaa maji pindi mvua zinaponyesha, hali inayodhoofisha mazingira yao ya kazi na kuonyesha kutokuwepo kwa...
Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi...
Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora mara kwa mara kwa njia ya barabara kwa kutumia usafiri wa bus, mnaweza kuthibitisha hili, kwamba...
Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa zaidi ya kilomita 80 wilayani Igunga, adha hiyo imeisha baada ya kituo kipya cha polisi kilicho...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)
Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...
Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto zinazojitokeza kwenye mchakato wa Wananchi kujiandikisha kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka hiyo.
Awali mdau alilalamikia changamoto ya foleni kubwa...
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.