tabora

  1. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  2. N

    JamiiForums Tanzania DC wa Tabora Mjini anafanya kazi kwa kufuata miongozo na maadili ya kazi na kiapo cha maadili ya utumishi wa umma

    Ndugu wana JF Mitandao ya kijamii ,hasa mtandao unaoheshimika Tanzania wa Jamii Forums ,umekuwa ukitumika na watu mbalimbali wenye nia njema na watu wenye nia ovu, lakini tuhuma zinapotokea lazima zijibiwe ili kuweka rekodi sawa dhidi ya upotoshaji na uchafuaji wa viongozi unaofanywa na...
  3. JamiiForums Tanzania Tabora: Wakulima wa Pamba wakaidi agizo la Mkuu wa Mkoa wataka walipwe fedha zao

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Igunga kuwachukulia hatua za haraka wakulima wote wa pamba ambao wamekataa kung’oa miti ya pamba ya msimu uliopita. Wakulima hao wamekaidi kufanya hivyo kwa madai ya kutaka kulipwa fedha zao za mauzo...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wangu wa mkoa wa Tabora punguza utani hasa ukiwa kikaoni wa chini watashindwa kutekeleza uliyotoa

    Awali ya yote shikamoo afande WANGU mkuu WANGU WA mkoa Kiufupi tu nimekusikiliza kwa millardayo NAAMINI akuwepo kikaoni ila kama alikuwepo mwakiloishi nalo jema Kiufupi naomba nishauri tupunguze utani zaidi hasa pale unapokuwa na watu kama madiwani wakitoka hapo wanatakiwa kutimiza majukumu...
  5. JamiiForums Tanzania TABORA: Mtu mmoja afariki baada ya kupokonywa hirizi zake

    Michael Paschal mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa Uhemeli Ndala, Nzega, mkoa wa Tabora, afariki baada ya kuporwa hirizi zake na polisi akifanyiwa upekuzi. Kijana huyo ambaye ni bodaboda alifikishwa kituoni mara baada ya kumkaba na kumchania sare CPL Lucas aliyekuwa katika majukumu ya usalama...
  6. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

    Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
  7. JamiiForums Tanzania Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

    Wadau, Kutokana na mikasa mingi ambayo nimewahi kuipata na pia kusikia kwa ndugu, jamaa na marafiki nawashauri sana kuna mikoa msikanyage kabisa hizi ni story za kweli na nimezikatisha sana ili isiwe kero kwa wavivu wa kusoma kwa waliokuwa ndugu zangu hasa wale ambao wanatumia vichwa vidogo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala

    The regional commissioner of the Tabora Region Ukiwaona Ditopile Mzuzuri has been arrested under suspicion of shooting dead in the head a Dala-Dala Driver last night. News that reached TZUK.net from a very credible source in Tanzania say that Ditopile's vehicle was hit by the DalaDala that sped...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…