tabora

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi Tabora United mlipata zile milioni 50 mlizoahidiwa na Mkuu wa Mkoa?

    Hivi karibun hii timu ilishiriki kujinasua kubaki NBC Ghafla mkuu wa mkoa akahaidi mil 50 Wengi sana wakashangaa kwanini hawakupatiwa wakati wakiwa kwenye ligi wakijipambania Wamejitahidi wamerudi nauliza Hivi walizipata zile hela?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamume kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mkazi wa Mtaa wa Maselele, Kata ya Cheyo B Manispaa ya Tabora, Juliana Mbogo (40) kisha mwili wake kuuficha uvunguni mwa kitanda, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

    Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu. Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu. Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana Mkoani Tabora wanapenda 'Kupiga Chabo' Wanawake wanaojifungua kwenye Zahanati ya Isevya

    Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na maadili wanaowachungulia. Wanawake hao wanasema wakati wa wakijifungua kuna baadhi ya watu wenye rika...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yalipa fidia ya kupisha Reli ya SGR kwa Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo (Uyui-Tabora) waanza kuhama

    Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa. Hoja la malalamiko ya awali...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora) inasikitisha, vyoo ni chakavu na vichafu, madarasa ndio usiseme

    Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari. Nimekuta Wanafunzi na shule nzima ya Msingi Kamama iliyopo Wilayani hapo ina changamoto nyingi...
  7. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba uingilie kati, Zahanati ya Hosiana Mission Tabora tunanyanyaswa na uongozi wa mkoa

    Utangulizi: Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora. Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya Tabora. Kituo hiki kina madaktari, wauguzi na watumiahi wengine wasiopungua 10. Baada ya maelezo...
  8. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki

    Leo tarehe 18/7/2024, Mkoani Tabora yamehitimishwa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Huku zoezi rasmi la uandikishwaji likitarajiwa kuanza siku ya jumamosi tarehe 20/7/2024 na...
  9. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Huku Tabora kilo moja ya mchele imefika 800 (mia nane)

    Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei. Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako. Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Barabara ya Tabora - Mpanda unateleza na lami tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora hadi Mpanda (km 352) ni ya kiwango cha lami. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Julai 13, 2024 wakati...
  11. B

    JamiiForums Tanzania TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Pinda: Makamishna wa ardhi, kutaneni kupanga mikakati ya utekelezaji wa bajeti

    TABORA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa nchini kuhakikisha wanakutana na kufanya tathmini na kuweka mpango kazi wa utekelezaji Bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Mhe. Pinda ametoa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza maboresho ya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi takribani Shilingi Milioni 25 kutumika, hatua zimeanza kuchukuliwa. Malalamiko ya member ~ Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora Mjini hadi Igalula yaanza kufanyiwa maboresho

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika juu ya kero ya barabara itokayo Tabora Mjini kuelekea Igalula, Goweko na Makibo kupitia Ndevelwa hatimaye kipande cha Kilometa 30 Igalula-Ndevelwa-Tabora Mjini kimeanza kufanyiwa kazi kwa maboresho. Kero ya Mdau ~ Barabara ya Tabora Mjini...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC wa Tabora, Paul Chacha awakabidhi wachezaji wa Tabora United Tsh. Milioni 50 kwa kusalia katika Ligi Kuu

    Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo wangefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Bara. Tabora United imesalia NBC Premier League baada ya kuifunga...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Tabora awahakikishia usalama washiriki wa UMISETA 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha amewahakikishia Usalama wanamichezo na wageni waliopo Tabora kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya UMISETA 2024. Ameeleza hayo leo tarehe 18 Juni 2024, wakati akizungumza kwenye Mashindano hayo ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania, yanayofanyika...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) | 16/06/2024| Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao

    Mchezo wa marudiano kati ya Tabora united na Biashara Inited unaendelea. Ikumbukwe Mchezo wa kwanza biashara United iliibuka na ushindi wa bao 1 lililofungwa kwa Mkwaji wa penati. Ikitokea Buashara akaibuia na Ushindi leo, au kupata Droo yoyote atakuwa kakata tuketi ya kuoanda ligi kuu kwa...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Tabora azindua Mradi wa Maji uliogharimu Tsh. Milioni 975

    Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula. Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
Back
Top Bottom