tabora

  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Martin: Mwigulu tueleza ongezeko la Sh 1.85 Trilioni kwenye Mkataba wa Ujenzi wa SGR Tabora hadi Kigoma kabla ya kuomba fedha China na Benki ya Dunia

    Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...
  3. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Jamaa wanasa Madaftari ya Kupiga Kura Kituo cha Kujiandikisha yakiwa na Majina lakini hayana Saini

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 kumebainika kasoro ambazo zinalengo la kuharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya wanaoandikisha kujaza majina ambayo wahusika hawapo na kuandika Watu ambao hawajafikisha umri wa miaka 18. Baadhi ya ambao wameandikishwa ni Wanafunzi wa...
  4. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Ziarani Tabora uzinduzi miradi ya Maendeleo

    Hodi hodi Tabora. Mulé mpola?! Wabéja. Haya, tuendelee sasa kuzindua miradi ya maendeleo na kuyatangaza maendeleo ya Tabora. Ikumbukwe, mkoa wa Tabora tayari umeshapokea takribani Trilioni 1.1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya sekta mbalimbali tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya Awamu...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Maghorofa yaliyopo Tabora

    Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi? Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tabora: Dkt. Philip Mpango aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene Nzega, unaogharimu shilingi bilioni 29.3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu. Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
  8. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Baba wa Taifa yavunjwa na kuharibiwa Tabora, msako waanza.

    Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini wale Wazee Wastaafu wa Tabora watapata haki zao?

    Baba yangu alikuwa mwaliimu, alistafu mwaka 2014 baba yangu mdogo wa hiari alifuata akastaafu 2015. Kimbembe ni kwamba tangu walipostaafu miaka ile mpaka tunapoongea muda huu hawajapata hata Senti tano sio pspf wala pension sijui kiinua mgogo hawajapata mpka leo. Kuna vitendo ambavyo...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

    Kagoma hakupaswa kucheza https://www.youtube.com/watch?v=rCEb85MDopM
  12. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania JE RC TABORA YUPO SAHIHI? BAADA YA ACT-WAZALENDO KURIPOTI AMBAYO YAMETOKEA (W) YA KALIUA

    Baada ya Mharagande wa ACT-WAZALENDO kuripoti mauaji ambayo yametokea (W) ya Kaliua Rc Tabora ataka ajieleze au kueleza alichokisema ni sahihi . Je serikali bado inaendelea kutisha watu? Na je Maharagande akithibitisha kweli watu wameuwawa, wamebakwa, na akaleta ushahidi serikali ipo teyari...
  13. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Tabora Mjini, ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina?

    Habari za muda huu wakuu, Kwa wenyeji au waliowahi kufika Tabora mjini, Ni ukumbi upi unafaa kwa ajili ya semina itakayokuwa na idadi ya watu wasiopungua 150 mpaka 300 hapo, Nimepewa jukumu la kutafuta ukumbi kwa ajili ya shughuli fulani. Natanguliza shukrani wakuu🙏
  14. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baada ya picha za vyoo vya Shule ya Kamama (Uyui - Tabora) kuziweka hapa JF, nimeona wanajenga vyoo vipya

    Ujenzi ukiendelea Wiki mbili iliyopita niliandika kuhusu Shule ya Kamama iliyopo Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama, Wilayani Uyui kuwa ni hatarishi hasa Vyoo na madarasa, hatua zimeanza kuchukuliwa. Kama hukuona andiko langu la awali, lipo hapa ~ Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora)...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wachezaji wa Tabora UTD kucheleweshewa leseni na TFF

    Mjumbe hauwawi. Nimeikuta sehemu wadau wa Tabora UTD wakiilalamikia TFF kuwa wamekuwa wakichelewesha leseni za wachezaji hasa wa kigeni kwa makusudi kwa maslahi yao. Hili limeikumba Tabora UTD kwani wachezaji wao tegemezi mpaka muda huu hawajapewa leseni na TFF. Inawesemekana ni makusudi ili...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Leonel kawafilisi ama mmewachoka mashabiki simba??mzunguko vs tabora 10000 serious??

    Mfanyabiashara yuko kazini zaidiiiii Lazima turudishe hela zetuuu endeleen kushabikiaa tu wachezajii
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa St. Doroth (Tabora) ashtakiwa kwa kumnajisi Mwanafunzi wa Darasa la Pili

    TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Tabora. Akisoma mashtaka hayo jana Agosti 15, 2024...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwenendo wa uendeshaji wa treni ya Tabora-Mpanda

    Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni litafika saa tisa mchana ila cha ajabu treni linafika saa Tatu usiku. Kwa ufupi wananchi wa huku...
Back
Top Bottom