News Alert: Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 25.05.2024

mwarabu feki

JF-Expert Member
Feb 16, 2023
706
1,545
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika.

Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo saa kumi ambapo ndio mchezo huu utaanza.

20240522_145547.jpg



1716646611754.png

Kikosi cha Yanga kilichoanza
 
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika...
Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo saa kumi ambapo ndio mchezo huu utaanza..
Picha mbona umeweka thumbnail, wanaonekana kama Yanga feki
 
Back
Top Bottom