Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.
Rashda naandika
Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya.
Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja.
Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo.
Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali.
Haw hapa.
aung san suu...
Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu.
Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya.
Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM.
Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae...
Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁
Yani unaweza kufumua kiota...
Haya twende kazi,
1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.
2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.
3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito?
Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto zetu na familia zetu.
Acheni huu utoto. Acheni huu ujinga mara moja.
Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa.
Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k.
Matukio kama matatu...
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.
Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake
Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana
Makonda ni mara...
Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE.
Ipo hivyo kwa binaadamu pia kuna ambao wana tabia za Mbu kupiga kelele nyingi kabla ya safari na mwishoni kuzuiwa.
Unataka kurudi...
Rais wa Marekani, Donald Trump, siku ya Alhamisi alitoa ishara ya uwezekano wa kumalizika kwa ongezeko la ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, ongezeko ambalo limeyumbisha masoko ya fedha duniani. Pia alieleza kuwa makubaliano kuhusu hatma ya jukwaa la mitandao ya kijamii la TikTok...
Wanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye...
Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu.
Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako
Unaweza...
Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake.
Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond.
TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
Moderator msibadili maneno makili yaloandika Wala kuufunga Uzi huu ili watu wajifunze yaliyokusudiwa ...🙏🙏🙏
Ujinga ni kuto kujua jambo, mjinga akielimishwa hubadirika na kuwa mweredi.
Mpumbavu ni mpuuziaji wa Mambo, huwa anajua kinachopaswa Ila anafanya kinyume chake, kwa asilimia kubwa...
Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia,
Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
baada
gani
influence
kabla
karibu
kitu
kitu gani
kuondoka
lifestyle
maisha
majuto
mbaya
mbovu
mtindo
mtindo wa maisha
mwerevu
ndani
sauti
tabia
umri
watu wa karibu
wengi
wenye
wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.