tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake

    Maandiko yanasema muuaji na mtesaji kwa watu wasio na hatia damu hizo zitawalilia mpaka kizazi cha nne, Sabaya ni kizazi cha kwanza cha utesaji akirithi kwa Baba yake. leo 25-11-2022 Sabaya " Mussolin" anaendelea kunyea ndoo gereza la Karanga, na hataki kutubu kwa watu aliowatesa na kupora mali...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya wengi wana tabia kama za Ole sabaya labda uwatoe Gondwe na Jokate, Sabaya media imemponza!

    Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua. Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya. Fuatilia utagundua ukweli. Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  4. JamiiForums Tanzania Msichana wa Kazi wa Jirani yangu ana tabia hizi je, atakuwa anasumbuliwa na tatizo gani labda?

    Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake. Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua funua Nguo yake ( Dela ) huku akijiangalia Matiti yake na Makalio yake ambayo hata hivyo Mwenyezi Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania Nasimama na Yanga

    Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI

    1. Kutumia muda mwingi kuangalia TV, sinema au tamthiliya { Masaa mengi unayotumia kuangalia TV unaweza kuyatumia kufanya shughuli za kibunifu, na kuutengenezea thamani muda wako. kuangalia TV sio jambo baya lakini kutumia masaa mengi kuangalia TV, sinema au tamthiliya ni hasara} 2. Kununua...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

    Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...! Na mzee wangu amekua mastari wa mbele...
  9. JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya; Tabia za kitajiri za kuishi kila siku ili kufika kwenye utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukutaarifu kwamba kitabu kipya cha TABIA ZA KITAJIRI; Tabia Za Kuishi Kila Siku Ili Kupata Utajiri, Mafanikio Na Furaha kimekamilika na kiko tayari kwa ajili yako kusoma. Hiki ni kitabu ambacho kimebeba matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanywa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

    Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na baridi kiasi kipindi hiki ambapo pia nipo likizo, najikuta muda mwingi nikiwa chumbani, tena kitandani na wife tukishiriki tendo takatifu la ndoa. Mke wangu ni miongoni mwa wale wanawake ambao wakifikishwa kileleni Hutoa sauti za mahaba na vilio...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

    Kiukweli chini ya uongozi wa katibu mkuu Dkt. Bashiru, CCM imepata mafanikio makubwa sana tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Sasa mali za chama zinajulikana bayana na miradi yote ya CCM inajulikana tofauti kabisa na ilivyokuwa kwa watangulizi wake kuanzia Dkt. Gama hadi kanali Kinana. Tatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu 'Wanajeshi' si tulishakubaliana kuwa hii tabia ya 'Kuua' Wake zenu kwa 'Wivu' wa Kimapenzi isijirudie tena?

    Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi. Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3 Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Alipokufa Sokoine hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini kuna Wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika. Hii tabia ilianza zamani

    Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake. Wakati ule hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini uzushi ule ulisambaa nchi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China yafuata ahadi yake katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Video: Mabadiliko ya tabia nchi ni suala linalokabili kila mmoja wetu Pili na Amani wameshiriki kwenye shughuli ya kupanda miti hapa BJ ili kuchangia juhudi za kusaidia kutatua suala hilo. Waziri wa Teknolojia wa China Bw. Wang Zhigang amesema ahadi ya China kuhusu“utoaji wa hewa ya kaboni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

    Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja, ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa, Nilikuwa najiuliza sana...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna dalili za kawaida na tabia ambazo Wazazi wanaweza kuzitumia kuweza kutambua ikiwa Mtoto ana Mkazo/Stress

    Dalili za kawaida ni pamoja na Kupoteza hamu ya kula au kupata matatizo ya kumengenya Chakula ikiwemo maumivu ya mara kwa mara ya tumbo. Pia, kukosa umakini au Mtoto kuanza kujitenga na Marafiki/Wanafamilia mnapokaa pamoja Pia, Maumivu ya kichwa, shida ya kulala kama kushindwa kupata usingizi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni tabia yako ipi hutamani watoto wako wairithi na ipi unatamani wairithi?

    Nawasalimu katika jina la JMT. Kazi iendelee. Moja kwa moja kwenye mada. Katika maisha tunayoishi tunafanya mambo mengi na kupitia vitu kadhaa. Baadhi matendo ni mazuri mengine si mazuri. Pia baadhi ya Tabia ni njema lakini nyingine si njema. Pia kuna baadhi ya tabia si mbaya wala...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Muonekano na tabia za mwanamke zitaamua aina ya mwanaume wa kumtongoza

    UKIONA wanaokutongoza wote wamenyoa viduku[emoji64], wana mabrichi kichwani, wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini.... Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako... Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    Ndugu zanguni habari zenu, nimekuja kwa ushauri wenu pamoja nakuweza kupanua mawozo yangu nakupunguza stress za kifamilia. Mimi nina mke na tumejaliwa watoto wawili (2) wakike na wakiume, Mwaka jana mnamo mwezi wa saba (7) mke wangu alinipa taarifa kwamba Mama wake mzazi (mama mkwe) anakuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…