tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  2. JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kumuamini kila mtu

    Yaani iko hivi mimi hua namwamini mtu yeyote ili mradi tu hajawahi nifanyia ubaya lakini cha kustaabisha watu wabaya siku hizi hawaji tena kwangu yaani wanakuja watu wema tu na hata nikiwafanyia kazi za kudaiana wananilipa kati ya watu 10 ni wawili tu ndo wanaweza kunidhulumu au kusiwepo kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia Zinazomfanya Mwanamke Awe Na Hisia Nawe Zaidi, Akupende Na Mdumu

    Jana tuliona tabia zinazomfanya asiwe na hisia nawe. Leo tuangalie tabia zenye matokeo mazuri. Ukifanya haya ni rahisi kudumisha upendo katika mahusiano. Kuna maana nyingi za upendo kwenye mahusiano. Lakini maana kubwa ni pale mnapofurahi pamoja (mkiwa pamoja sio kwenye simu) na mkafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Tabia Hizi Zinamfanya Mwanamke Asiwe Na Hisia Na Wewe, Na Akukatae

    Tabia hizi hazina matokeo mazuri, yale unayotarajia upate. Utahisi ukifanya hivyo itakusaidia kumpata mwanamke. Lakini zina matokeo ya tofauti. Zinamfanya asikupende zaidi. Kwa upande wako utaona kuwa mwanamke hana mpango nawe. Au kila ukianzisha mazungumzo ya mapenzi ye anakwepa. Au utaona...
  6. JamiiForums Tanzania Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

    Kuna kipindi nlitaka kufuga Kasuku Mimi nawapenda. But demu wangu wa kipindi hicho alinikataza kabisa. Akisema hawa ndege wana imani imani flani pia. Tulikuwa tukibishana sana. Na anadai wangesababisha hata mimi na yeye tusioane. Hivyo hakutaka kabisa kusikia hizo habari. Kwa kipindi hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu ambao hawana tabia ya utu ya kusalimia au kuitikia salamu

    Hello!! Anaandika Wadiz a.k.a Baharia Moja ya sifa na upekee wa binadamu ni utashi wa kusalimiana na kuitikia salamu. Kumekuwapo ongezeko kubwa la ujeuri, dharau, kibri, vijana wa kiume, wa kike, baadhi yao wakubwa tu hawatoi salamu au kuitikia salamu iwe mnapishana njiani, akukute sehemu...
  8. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

    Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani? Kuna Watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichombadilisha mume tabia.

    🗯️
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

    Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia na kabila katika mahusiano ni vitu viwili tofauti na ukiingia kwenye mahusiano usiangalie kabila la mtu

    Huwa nachoshwa sana na watu wanaotaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano lakini cha kwanza wanaangalia Kabila la mtu kwa kuamini kabisa kuwa kabila Fulani Wana tabia hizi na hizi. Bila kupepesa macho NALIA NGWENA napinga hoja hiyo kwani Haina mantiki kwani Tabia ni tofauti kabisa na kabila la...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Tabia gani unazo na ungependa Watoto wako warithi kutoka kwako?

    Tukiacha na mali ulizonazo, ni tabia gani ambazo unazo ungependa wanao warithi kutoka kwako? Ni tabia gani ambayo unayo unaisi wanao wakiwa nayo itawasaidia sana kwenye maisha yao? Mimi kwa upande wangu ningependa warithi, (UTU) hii kitu kwa upande wangu ninahisi ninayo sana vingine waachane...
  13. JamiiForums Tanzania CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

    Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi kwa jamii ya Watanzania. CCM ina mkakati gani wa kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi na matokeo...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ya kukurupuka

    Habarini wanajamvi, katika haya maisha kila mtu anatabia zake ambazo kwa namna moja au nyingine zinamsababishia matatizo.Mimi nina tabia ya kukurupuka sana katika kuongea au kufanya maamuzi au kufanya jambo halafu baadae ndo nakuja kugundua nimefanya wrong. Wanajamvi naamini nyie ni watu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

    Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia njema wakati wa kula chakula

    Salamu. Tusichoshane hapa, Katika jamii iliyo staarabika kuna kanuni za kufuata kabla, wakati na baada ya kula chakula, sasa kanuni hizo ndiyo inaleta tabia njema wakati wa kula, sasa zifuatazo ni tabia njema kabla, wakati na baada ya kula. Kabla ya kula chakula zingatia kunawa mikono kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya tabia nchi: Tufanye nini kuirudisha Eden katika miji na majiji?

    Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto katika nyanja mbalimbali....kilimo, usafirishaji, mawasiliano, viwanda, afya nakadhalika. Yote haya...
  19. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wenye tabia ya Kipuuzi kama hii ifuatayo mkikutana nami katika 18 zangu mtaanyooka tu

    Ni tabia ya Kipuuzi na Kishamba sana ambayo naiona imeshaota Mizizi hasa hapa Jijini/ Mkoani Dar es Salaam. Yaani unakuta umekaa sehemu au mahala (katika Fremu yako ya Biashara) au Kwingineko kisha anakuja Mtu kutaka Huduma fulani badala ya Kwanza Kukusalimu aliyekukuta Yeye Moja kwa Moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…