Amani iwe nanyi nyote.
Kuna jambo moja naliona na si kuona tu
Kila mwenye Biashara analalamika
Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya jambo flani ujue Jambo unalofanya Ukitoka Labda Brella unaenda TRA , Then JIJI, Then LATRA Umemaliza. Lakini Unatoka Brella fresh kabisa, unakuja TRA fresh Wakati mwingine, Ukifika LATRA kazi inaanza Ooh! Hii Haifai wanakugomea
Hii Sheria sijui Hadi tupeleke Kwa Waziri
Mtasumbuana hapo Sana
Swali langu: Ni Kwanini kunakuwa kama kuna mnyukano wa Taasisi za Serikali na wajasiriamali (Private sector)?
Wakati mwingine Unaona wale watendaji wanakuwa kama lengo lao Ni kukwamisha Biashara na kuua mitaji ya watu?
Kuna Wakati unaona wivu wa wasiwasi
Wa watendaji kutaka kukukwamisha?
Hii nchi ina walipakodi wengi sana Lakini
Serikali yenyewe Inatengeneza vitisho
Na kuwatenngenezea mianya ya Rushwa
Watendaji wake
Kuna kauli ya Rostam Aziz ambayo ni ya kweli kabisa. Ukiwekeza pesa zako nyingi Tanzania inatakiwa upimwe akili
Kuna watu maalumu wako Kwa ajili ya kukukwamisha. Wamejaa kote Serikalini
Kama Hakuna wanachonufaika nacho Kwenye Mradi au Biashara unayoianzisha
Mtasumbuana sana.
Maoni yangu
Fungueni milango watu wafanye Biashara, Bahati nzuri Rais tulie nae sasa anaufahamu mkubwa juu ya Biashara
Anajua Dunia iko ilivyo sababu ya Sector Binafsi.
Hakuna mfanyakazi wa Serikali aliwahi kuleta maendeleo Duniani.
Serikali isimamie Itoe miongozo wezeshi
Sio kutengeneza Beria
Tukifanya yote haya Tuna uwezo wa kuibadilisha Rushwa jina Tukaiita "Asante"
Kwa sababu imetolewa Kwa moyo wa kupenda.