Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,662
- 96,930
Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi.
Huyu paka hana mpango kabisa na panya na ukimpa chakula hakina nyama hali, yeye anataka nyama na samaki na dagaa tu.
Sasa imekuwa kero nyumbani amezidi wizi mkiweka nyama au samaki huyu ni kama chui anweza kupanda popote na hivyo vitu mkileta ndani anajuwa viko wapi ana uwezo mkubwa sana wa kunusa.
Nimevilia sasa nimechoka vituko vyake najuws muda wake asubuhi huwa analala usingizi mzito, sasa nimepanga kumlia timing nimtandike risasi za kutosha maana ndio njia rahisi kwangu kumalizana naye.
Kabla sijatekeleza ukatili huu, kama hapa JF kuna mtu anahusika au amawajuwa wanaohusika na haki za wanyama anijuze niwasiliane nao ili wamnusuru na ukatili ambao nakwenda kuufanya, nimechoka kwakweli na vituko na wizi wake.
Nawasilisha.